Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada ndefu za kuandukiwa LumumbaThe Giantist,
Duu! Hakika nchi hii bado kuna wajinga wengi. Umekesha kuandika upumbavu huu kwa malipo ya kiasi gani?
Elimu! Elimu! Elimu! Bado inahitajika sana.
JET SALLI:Mwandishi huyu ameshindwa kabisa kuoanisha maana halisi ya Uhuru ,Haki na maendeleo ya Watu pamoja na maandishi marefu aliyoyaandika. Kazi ipo tuendelee kuelimishana.
Na kwa sababu hiyo, hata misaafu ya dini itakuwa imeandikwa Lumumba.Mada ndefu za kuandukiwa Lumumba