Uchaguzi 2020 Uhuru, haki na maendeleo ya watu: ni kauli mbiu iliyokosa mvuto kwa watanzania

Mwandishi huyu ameshindwa kabisa kuoanisha maana halisi ya Uhuru ,Haki na maendeleo ya Watu pamoja na maandishi marefu aliyoyaandika. Kazi ipo tuendelee kuelimishana.
 
Mwandishi huyu ameshindwa kabisa kuoanisha maana halisi ya Uhuru ,Haki na maendeleo ya Watu pamoja na maandishi marefu aliyoyaandika. Kazi ipo tuendelee kuelimishana.
JET SALLI:

Kwa taadhima kuu kabisa, tusaidie kuoanisha maana halisi ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. Nafikiri kukosoa bila masahihisho ni ujanja wa kishamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…