pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Primitive is you who will live all your life kneeling. Your children, same fate. Just because no one had the cahones to stand up like a man. I mean Lissu is shot and it is reported as Sportsnews!Katika miaka yote ya mauaji waliuliwa albino 70+, kuanzia August tu hadi leo Jaluo 60 wameshatafunwa, leo magari 15 ya kubeba nyama ya Jaluo yamepelekwa, ikifika Desemba Jaluo 400 watakuwa wameshachinjwa, very primitive society indeed
What change did u idiots make by rebranding KANU to JUBILEE?Look at yourself you have been ruled by the same thiefs, sell outs, ONE party since indepence and you have never complained even ONCE. Do you want to enter into the guiness book of records or something?
Primitive ni watu wanakufa kama wadudu, watalii waliokuwa wanakuja huko wote wanakimbia because of your primitive life, wewe umeona wapi dunia ya leo watu wanapigana na kuuana kwa misingi ya ukabila zaidi ya Kenya, Somalia na South Sudan?, those are primitive countriesPrimitive is you who will live all your life kneeling. Your children, same fate. Just because no one had the cahones to stand up like a man. I mean Lissu is shot and it is reported as Sportsnews!
You are so daft you think they announced, all future presidents line up for a picture! A whole country that chooses to be ruled by a dictator, a crazy chemist. A country that no one has the guts to dermonstrate for their rights otr even speak their mind is a pu$$y country, fullstop!What change did u idiots make by rebranding KANU to JUBILEE?
Watu wale wale wanacheza na akili zenu,
Kindly find your all presidents in one photo. And they have a plan to rule Kenya til Jesus comes back. Ufala kama huo hautakaa utokee Tanzania.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 612168
Kwa hiyo ulitakaje?Mimi nikiri wazi kuwa nilikuwa shabiki mkuu wa Uhuru Kenyatta kwa sababu ya mapenzi ya democrasia lakini kwa kinachoendelea kenya kwa sasa siwezi kuwa mnafiki kuendelea kushabikia upuuzi unaofanywa na serikali yake hakika sijui ni kwa kushauliwa au ni kwa makusudi .
Ingawa sijawai kuwa shabiki pia wa Siasa za Raila Odinga lakini kwa yanayoendelea kenya mwenye unafuu ni Raila kuliko Uhuru ..
Serikali kupitia police wanafanya mauaji ya kikabila its so sad sana watu zaidi ya 30 wote wa kabila la mgombea wa upinzani?..
Sasa hivi huyu mama wa IEBC kajiuzulu kwa sababu ya kutishiwa maisha na watu wa serikali kwa kweli ni aibu kwa mfuasi makini wa siasa za kidemocrasia kuendelea kumuunga mkono Mtu wa namna hii...
Hapa bado sijaweka mauaji ya Msando na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya Matiangi kiukweli ni laana ...
Uhuru kama alifanya haya kwa kujua basi hatakiwi kuendelea kuwa rais wa kenya taifa linalojipambanua ni taifa la democrasia namshauri ajiuzulu au awafukuze kazi waliomshauri kufanya uhalifu huo wa kinyama bado sioni nafasi yake tena kama rais mwenye heshima east africa .
Uchumi wenu umekuwa zaidi ya wetu tangia uhuru? Shut up mbele ya waafrika wengine hata kukohoa lazima muombe ruhusa! Burundi wenyewe hawataki dikteta mnarudi nyuma. Mnatuaibisha sisi wanaE.Afrika.Primitive ni watu wanakufa kama wadudu, watalii waliokuwa wanakuja huko wote wanakimbia because of your primitive life, wewe umeona wapi dunia ya leo watu wanapigana na kuuana kwa misingi ya ukabila zaidi ya Kenya, Somalia na South Sudan?, those are primitive countries
Usibadilishe topic, kubali kwanza, Kenya, Somalia and South Sudan are primitive countries because they live like wild animals killing each otherUchumi wenu umekuwa zaidi ya wetu tangia uhuru? Shut up mbele ya waafrika wengine hata kukohoa lazima muombe ruhusa! Burundi wenyewe hawataki dikteta mnarudi nyuma. Mnatuaibisha sisi wanaE.Afrika.
Uhuru ndiye Dikteta kwa sasa anaongoza Afrika nzima, nyinyi ni primitive sanaUchumi wenu umekuwa zaidi ya wetu tangia uhuru? Shut up mbele ya waafrika wengine hata kukohoa lazima muombe ruhusa! Burundi wenyewe hawataki dikteta mnarudi nyuma. Mnatuaibisha sisi wanaE.Afrika.
It's better you have told him the truth, Tanzania is the land of fools where nobody can claim his justice even if he is doomed to death.You are so daft you think they announced, all future presidents line up for a picture! A whole country that chooses to be ruled by a dictator, a crazy chemist. A country that no one has the guts to dermonstrate for their rights otr even speak their mind is a pu$$y country, fullstop!
But Kenya is primitive country you kill each other like wild animalsIt's better you have told him the truth, Tanzania is the land of fools where nobody can claim his justice even if he is doomed to death.
Mkuu achana na huyo kenge anakupotezea muda.Uchumi wenu umekuwa zaidi ya wetu tangia uhuru? Shut up mbele ya waafrika wengine hata kukohoa lazima muombe ruhusa! Burundi wenyewe hawataki dikteta mnarudi nyuma. Mnatuaibisha sisi wanaE.Afrika.
Huyu hajui kabisa kile anachokisema.Kwani Raila ameuwa watu wangapi na uchochezi na maandamano zake za kila wakati? Unafikiri waandamanaji wale ni watu wa amani na kuheshimu mali ya watu?Raila alikiri kwa furaha sana eti alihusika na mapinduzi ya serikali mwaka wa 1982 ambapo zaidi ya watu 180 waliuawa. Odinga alichochea fujo za 41 vs 1 tribe na "No Raila ,No peace" hizo ndizo zilizoleta mauaji makubwa ya 2008. Ni kabila gani linahusika zaidi kwa maandamano na uharibifu wa mali? Mbona watu wa pwani wanaoandamana pia hawajapigwa risasi?Mimi nikiri wazi kuwa nilikuwa shabiki mkuu wa Uhuru Kenyatta kwa sababu ya mapenzi ya democrasia lakini kwa kinachoendelea kenya kwa sasa siwezi kuwa mnafiki kuendelea kushabikia upuuzi unaofanywa na serikali yake hakika sijui ni kwa kushauliwa au ni kwa makusudi .
Ingawa sijawai kuwa shabiki pia wa Siasa za Raila Odinga lakini kwa yanayoendelea kenya mwenye unafuu ni Raila kuliko Uhuru ..
Serikali kupitia police wanafanya mauaji ya kikabila its so sad sana watu zaidi ya 30 wote wa kabila la mgombea wa upinzani?..
Sasa hivi huyu mama wa IEBC kajiuzulu kwa sababu ya kutishiwa maisha na watu wa serikali kwa kweli ni aibu kwa mfuasi makini wa siasa za kidemocrasia kuendelea kumuunga mkono Mtu wa namna hii...
Hapa bado sijaweka mauaji ya Msando na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya Matiangi kiukweli ni laana ...
Uhuru kama alifanya haya kwa kujua basi hatakiwi kuendelea kuwa rais wa kenya taifa linalojipambanua ni taifa la democrasia namshauri ajiuzulu au awafukuze kazi waliomshauri kufanya uhalifu huo wa kinyama bado sioni nafasi yake tena kama rais mwenye heshima east africa .
Se connecter à Facebook | FacebookPrimitive is you who will live all your life kneeling. Your children, same fate. Just because no one had the cahones to stand up like a man. I mean Lissu is shot and it is reported as Sportsnews!
Hata wewe umeandika batu badala ya watu jihukumu mwenyewe. Majina yao yalivyo na ujumbe nadhani umefika. Pia uko nje ya mada jadili hoja siyo majina.Comment #27 mwingine anaita rais wa Kenya Uhuru Kenya, comment #28 mwingine anaongelea Laila. Swali langu, hawa ni watz kweli au ni batu ba DRC?
hizo ni siasa, wanauana wao kwa wao na kushauriana kustaafu ili kushusha credibility ya UHURUMimi nikiri wazi kuwa nilikuwa shabiki mkuu wa Uhuru Kenyatta kwa sababu ya mapenzi ya democrasia lakini kwa kinachoendelea kenya kwa sasa siwezi kuwa mnafiki kuendelea kushabikia upuuzi unaofanywa na serikali yake hakika sijui ni kwa kushauliwa au ni kwa makusudi .
Ingawa sijawai kuwa shabiki pia wa Siasa za Raila Odinga lakini kwa yanayoendelea kenya mwenye unafuu ni Raila kuliko Uhuru ..
Serikali kupitia police wanafanya mauaji ya kikabila its so sad sana watu zaidi ya 30 wote wa kabila la mgombea wa upinzani?..
Sasa hivi huyu mama wa IEBC kajiuzulu kwa sababu ya kutishiwa maisha na watu wa serikali kwa kweli ni aibu kwa mfuasi makini wa siasa za kidemocrasia kuendelea kumuunga mkono Mtu wa namna hii...
Hapa bado sijaweka mauaji ya Msando na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya Matiangi kiukweli ni laana ...
Uhuru kama alifanya haya kwa kujua basi hatakiwi kuendelea kuwa rais wa kenya taifa linalojipambanua ni taifa la democrasia namshauri ajiuzulu au awafukuze kazi waliomshauri kufanya uhalifu huo wa kinyama bado sioni nafasi yake tena kama rais mwenye heshima east africa .
Acha fiks mkuuSiasa za kenya huzijui kabisa.
Musando aliuawa na mapenzi nje ya ndoa siyo na Uhuru.
Huyu Mama Roseline Akombe na IEBC Chair ni NASA moles sasa ulitegemea nini?
Mauaji hakuna aliyethibitisha hadi leo upande upi wahusika mengine ni wewe wayapika