Uhuru hana tena Moral Authority ya kuwa Rais Wa Kenya..

Dr.Rose Akombe ametema Nyongo na ameondoa herufi "I" , akiondoka Wafula Chebukati nae anafuta herufi "E" zinabaki "BC" hapo sasa itakuwa imebakia Kamati ya Kushughulikia Sherehe za Kuzaliwa kwa Watu sio Tume ya Uchaguzi isiyo na Mipaka (IEBC)



 
Mlitoka huko kichina! Mlibadilisha bucha lakini nyama ni ile ile!
Tulianza kuwasifu kwa demokrasia lakini kumbe hakuna kitu, mnakoelekea siko na dunia itawachoka halafu iwaache muuane!
 
Poleni! Ukabila unawamaliza! Hata wanaojaribu kuupiga vita kama rao, lakini naye anafanya hivyo kwa misingi ya kikabila! In Swahili we have a saying "Kwa mwoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio". Poleni sana mashujaa lakini mnaoambulia vilio badala ya ushindi!
 
Mkuu achana na huyo kenge anakupotezea muda.
Kenge ni mnyama wa porini, na tabia kuu ya wanyama wa porini ni kushindwa kuishi pamoja na kwa amani, badala yake wanakulana wenyewe kwa wenyewe, kabila moja linapigana na kuchinjana na kabila lingine....Kitendawili..ni nchi gani watu wake wanaishi kama wanyama wa porini?
 
Mkuu una akili ndogo kweli!

Yani Kenyata ndio kimbilio lenu chadema?
 
una uhakika gani hayo yote uliyosema amefanya uhuru??? kwann isiwe odinga?........

kwann tunapenda sana kulaumu upande mmoja bila kufuatilia?? afu unasema et kabila mpja ndio wanaouawa, sasa kama ndio kabila hilo tu ndio wanaaandamana ulitaka wengine wepi wauliwe?.....
 
Sisi wajanja tulijua mapema, katiba waliojitungia kwa sifa za kijinga ilikua ni kujichimbia kaburi.

Kenyatta keshaanza badili vipengele na kuchomeka vingine. Kifupi ni kua, nchi imeshawashinda. Waachane na katiba za kikuda!
Katiba ipo vizuri ni hawa wanasiasa wawili....natumai after miaka mitano wataretire
 
Uchaguzi utafanyika atakayeleta fyoko atachapwa wanafiki wakubwa
 
Hata wewe umeandika batu badala ya watu jihukumu mwenyewe. Majina yao yalivyo na ujumbe nadhani umefika. Pia uko nje ya mada jadili hoja siyo majina.
Sina muda wa kukufafanulia kwanini nimeandika batu ba DRC. Sitaki uniambukize umbumbumbu wako.
 
lakini mbona watanzania mnapenda udaku na kujifanya wajuaji
 
Sina muda wa kukufafanulia kwanini nimeandika batu ba DRC. Sitaki uniambukize umbumbumbu wako.
Nahisi unaishi kwa kukariri. Wewe una haki ya kukosea na usikosolewe ila wengine hapana wakikosea ni mbumbumbu.
Ktk kamsi hatuna neno batu bali tuna watu. Ikiwa watumiaji majority ya wakongo hukosea basi unataka liwe hivyo milele.
Tuachie wenye kiswahili chetu limbukeni wewe. Nilidhani utakuja na busara baada ya kukosolewa kumbe povu. Huna ujifunzalo.
 
Wakenya wanavuna mbegu waliopanda wenyewe, wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe kwa kujaribisha uongozi wa nchi kwa watu waliotuhumiwa kwa umwagaji damu wakatumia nguvu kujinasaua. Damu iliyomwagika bila hatia kamwe haitanyamaza hadi kilio Kimfikie Mungu.
 
Katiba ya Kenya ipo very funny!single polling station,isipofunguliwa,uchaguzi wote ni null and void!
UK anapoteza nguvu nyingi sana,kwenye kampeni badala ya maridhiano,this time atanyongwa tu hata akikimbiza mashahidi
 
Katiba ya Kenya ipo very funny!single polling station,isipofunguliwa,uchaguzi wote ni null and void!
UK anapoteza nguvu nyingi sana,kwenye kampeni badala ya maridhiano,this time atanyongwa tu hata akikimbiza mashahidi
Katiba ni very funny eeh, ndo maana huielewi nini? Uhuru ni mgombea urais kama mgombea yeyote mwingine. Ana haki ya kupiga kampeni kikatiba, anafata maagizo ya mahakama ilosema kura irudiwe, kura haisimamiwi na rais, hio ni kazi ya IEBC.
 
Katiba ni very funny eeh, ndo maana huielewi nini? Uhuru ni mgombea urais kama mgombea yeyote mwingine. Ana haki ya kupiga kampeni kikatiba, anafata maagizo ya mahakama ilosema kura irudiwe, kura haisimamiwi na rais, hio ni kazi ya IEBC.
Vipi kile kipengele kinachosema kama kituo kimoja tu wakishindwa kupiga kura,basi huo si uchaguzi
 
Udini, ukabila, ukanda, n.k kamwe havimuachi MTU salama na ndio maana huwa nawaza kimoyomoyo kuwa IPO siku kuna nchi inatuzunguka apart from Kenya watauwasha moto na hautozimika kirahisi
 
Mimi pia si mwenyeji sana wa siasa za Kenya lakini ninajaribu kuwaza tu, hivi kwamfano makamishina wote wa tume wangekuwa wamepatikama kwa upande wa Uhuru na Laila kuwa na uwakirishi sawa hii vurugu ingekuwapo?

Naomba nifahamu namna wajumbe wa IEBC walivyopatikana, isije ikwa kama TZ ambapo wajumbe wote wa ya uchaguzi huwekwa na CCM pekee huku wapinzani wakiingia kwenye uchaguzi kwa matarajio ya kuonewa huruma tu na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…