Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlitoka huko kichina! Mlibadilisha bucha lakini nyama ni ile ile!Unatamani uwe mkenya, lakini hamna namna, macho elekeza chini na unyenyekee, tunafanya vitu ambavo labda kama mtz hutaona kamwe maishani mwako. Siku moja mtaacha uoga CCM itawaadhibu sana kabla mfanikiwe kuing'oa, sisi tulitoka huko 2002! Watch and learn.
Poleni! Ukabila unawamaliza! Hata wanaojaribu kuupiga vita kama rao, lakini naye anafanya hivyo kwa misingi ya kikabila! In Swahili we have a saying "Kwa mwoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio". Poleni sana mashujaa lakini mnaoambulia vilio badala ya ushindi!You are so daft you think they announced, all future presidents line up for a picture! A whole country that chooses to be ruled by a dictator, a crazy chemist. A country that no one has the guts to dermonstrate for their rights otr even speak their mind is a pu$$y country, fullstop!
Kenge ni mnyama wa porini, na tabia kuu ya wanyama wa porini ni kushindwa kuishi pamoja na kwa amani, badala yake wanakulana wenyewe kwa wenyewe, kabila moja linapigana na kuchinjana na kabila lingine....Kitendawili..ni nchi gani watu wake wanaishi kama wanyama wa porini?Mkuu achana na huyo kenge anakupotezea muda.
Mkuu una akili ndogo kweli!Kwa hiyo ulitakaje?
Odinga anatuma watu wawachokoze police, kiu yake ni kuona damu inamwagika ili apate mercy ya Urais.
By the way ni mpango wa Mungu Kenyatta kuwa rais Kenya ili sisi CHADEMA tupate kimbilio, tazama tunavyopigwa risasi, Ben Saanane yuko wapi?
Long live Kenyatta, long live Jubilee.
una uhakika gani hayo yote uliyosema amefanya uhuru??? kwann isiwe odinga?........Mimi nikiri wazi kuwa nilikuwa shabiki mkuu wa Uhuru Kenyatta kwa sababu ya mapenzi ya democrasia lakini kwa kinachoendelea kenya kwa sasa siwezi kuwa mnafiki kuendelea kushabikia upuuzi unaofanywa na serikali yake hakika sijui ni kwa kushauliwa au ni kwa makusudi .
Ingawa sijawai kuwa shabiki pia wa Siasa za Raila Odinga lakini kwa yanayoendelea kenya mwenye unafuu ni Raila kuliko Uhuru ..
Serikali kupitia police wanafanya mauaji ya kikabila its so sad sana watu zaidi ya 30 wote wa kabila la mgombea wa upinzani?..
Sasa hivi huyu mama wa IEBC kajiuzulu kwa sababu ya kutishiwa maisha na watu wa serikali kwa kweli ni aibu kwa mfuasi makini wa siasa za kidemocrasia kuendelea kumuunga mkono Mtu wa namna hii...
Hapa bado sijaweka mauaji ya Msando na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya Matiangi kiukweli ni laana ...
Uhuru kama alifanya haya kwa kujua basi hatakiwi kuendelea kuwa rais wa kenya taifa linalojipambanua ni taifa la democrasia namshauri ajiuzulu au awafukuze kazi waliomshauri kufanya uhalifu huo wa kinyama bado sioni nafasi yake tena kama rais mwenye heshima east africa .
Katiba ipo vizuri ni hawa wanasiasa wawili....natumai after miaka mitano wataretireSisi wajanja tulijua mapema, katiba waliojitungia kwa sifa za kijinga ilikua ni kujichimbia kaburi.
Kenyatta keshaanza badili vipengele na kuchomeka vingine. Kifupi ni kua, nchi imeshawashinda. Waachane na katiba za kikuda!
Sina muda wa kukufafanulia kwanini nimeandika batu ba DRC. Sitaki uniambukize umbumbumbu wako.Hata wewe umeandika batu badala ya watu jihukumu mwenyewe. Majina yao yalivyo na ujumbe nadhani umefika. Pia uko nje ya mada jadili hoja siyo majina.
Nahisi unaishi kwa kukariri. Wewe una haki ya kukosea na usikosolewe ila wengine hapana wakikosea ni mbumbumbu.Sina muda wa kukufafanulia kwanini nimeandika batu ba DRC. Sitaki uniambukize umbumbumbu wako.
Mimi nikiri wazi kuwa nilikuwa shabiki mkuu wa Uhuru Kenyatta kwa sababu ya mapenzi ya democrasia lakini kwa kinachoendelea kenya kwa sasa siwezi kuwa mnafiki kuendelea kushabikia upuuzi unaofanywa na serikali yake hakika sijui ni kwa kushauliwa au ni kwa makusudi .
Ingawa sijawai kuwa shabiki pia wa Siasa za Raila Odinga lakini kwa yanayoendelea kenya mwenye unafuu ni Raila kuliko Uhuru ..
Serikali kupitia police wanafanya mauaji ya kikabila its so sad sana watu zaidi ya 30 wote wa kabila la mgombea wa upinzani?..
Sasa hivi huyu mama wa IEBC kajiuzulu kwa sababu ya kutishiwa maisha na watu wa serikali kwa kweli ni aibu kwa mfuasi makini wa siasa za kidemocrasia kuendelea kumuunga mkono Mtu wa namna hii...
Hapa bado sijaweka mauaji ya Msando na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya Matiangi kiukweli ni laana ...
Uhuru kama alifanya haya kwa kujua basi hatakiwi kuendelea kuwa rais wa kenya taifa linalojipambanua ni taifa la democrasia namshauri ajiuzulu au awafukuze kazi waliomshauri kufanya uhalifu huo wa kinyama bado sioni nafasi yake tena kama rais mwenye heshima east africa .
Katiba ni very funny eeh, ndo maana huielewi nini? Uhuru ni mgombea urais kama mgombea yeyote mwingine. Ana haki ya kupiga kampeni kikatiba, anafata maagizo ya mahakama ilosema kura irudiwe, kura haisimamiwi na rais, hio ni kazi ya IEBC.Katiba ya Kenya ipo very funny!single polling station,isipofunguliwa,uchaguzi wote ni null and void!
UK anapoteza nguvu nyingi sana,kwenye kampeni badala ya maridhiano,this time atanyongwa tu hata akikimbiza mashahidi
Vipi kile kipengele kinachosema kama kituo kimoja tu wakishindwa kupiga kura,basi huo si uchaguziKatiba ni very funny eeh, ndo maana huielewi nini? Uhuru ni mgombea urais kama mgombea yeyote mwingine. Ana haki ya kupiga kampeni kikatiba, anafata maagizo ya mahakama ilosema kura irudiwe, kura haisimamiwi na rais, hio ni kazi ya IEBC.
Mimi pia si mwenyeji sana wa siasa za Kenya lakini ninajaribu kuwaza tu, hivi kwamfano makamishina wote wa tume wangekuwa wamepatikama kwa upande wa Uhuru na Laila kuwa na uwakirishi sawa hii vurugu ingekuwapo?Mleta mada huwa napenda sana hoja zako haswa kule kwenye jukwa la siasa za Watanzania maana mara nyingi huwa hauegemei upande wowote, sio kama wale mamluki tumezoea humu. Nakumbuka siku umempelekesha sana waziri wenu Mwigulu hadi akafungua uzi kujitetea humu JF.
Sasa kwenye kauli zako leo, japo kuna maeneo upo sahihi lakini mengine naona kama utakua aidha hujatumia muda wako kudadisi ipasavyo.
- Majina ya watu waliouawa yalidhihirisha sio watu wa kabila moja pekee, humo niliona hata majina ya Wakikuyu kabila la rais Uhuru.
- Ni kweli waliouawa wengi ni Wajauo, kabila la Raila, japo pia kuna uchunguzi unafanywa ieleweke waliuawa kivipi, maana kuna tetesi haya mabunduki yanayoibuka kutoka kwa mfadhili wa upinzani kuna yaliyotumika kwenye mauaji ya hao raia. Swali ambalo limezua utata ni kwamba, ni polisi yupi huyo aliyediriki kupiga watoto risasi, kisa kama hicho inafahamika lazima kitaibua hisia kali dhidi ya serikali, hivyo hilo suala linaangaliwa kwa jicho la tatu na kufanyiwa uchunguzi.
- Huyo kamishna mdada aliyejiuzuru ameeleza kwamba maisha yake yalikua hatarini kwa vitisho, kitu kinachofahamika ni kwamba kufikia hapo, wahudumu wa tume wanaogopa sana upinzani zaidi ya serikali. Kwa mtumishi yeyote kuthubutu kufanikisha zoezi hilo kwenye ngome ya upinzani ni kama kujitakia kifo. Huyo dada ameeleza hali ilivyo mbaya baada ya yeye kwenda huko kwenye hizo gatuzi za upinzani.
Kwa kifupi ninashauri utumie muda wako kudadisi taratibu kabla ya kuibuka na kauli zozote.