Uhuru hana tena Moral Authority ya kuwa Rais Wa Kenya..

Uhuru hana tena Moral Authority ya kuwa Rais Wa Kenya..

Sisi ndo tuliewasaidia kumpiga Lissu risasi au kuwatafuna albino kwa ugali kama dagaa? Jitizameni kwa umkini kwenye kioo. Watz mna roho mbaya, nyeusi ilojaa fitna na unafik.

Fools who were up in arms against our brothers and sisters with albinism were all rounded up and locked; we have risen above those challenges. Wewe jipe moyo na jifariji....HABARI YA MUJINI ni: Kenya is in the verge of collapse.
 
So? Who asked for your help?
 
Mimi nikiri wazi kuwa nilikuwa shabiki mkuu wa Uhuru Kenyatta kwa sababu ya mapenzi ya democrasia lakini kwa kinachoendelea kenya kwa sasa siwezi kuwa mnafiki kuendelea kushabikia upuuzi unaofanywa na serikali yake hakika sijui ni kwa kushauliwa au ni kwa makusudi .

Ingawa sijawai kuwa shabiki pia wa Siasa za Raila Odinga lakini kwa yanayoendelea kenya mwenye unafuu ni Raila kuliko Uhuru ..

Serikali kupitia police wanafanya mauaji ya kikabila its so sad sana watu zaidi ya 30 wote wa kabila la mgombea wa upinzani?..

Sasa hivi huyu mama wa IEBC kajiuzuru kwa sababu ya kutishiwa maisha na watu wa serikali kwa kweli ni aibu kwa mfuasi makini wa siasa za kidemocrasia kuendelea kumuunga mkono Mtu wa namna hii...

Hapa bado sijaweka mauaji ya Msando na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kabla ya Matiangi kiukweli ni laana ...

Uhuru kama alifanya haya kwa kujua basi hatakiwi kuendelea kuwa rais wa kenya taifa linalojimbambanua ni taifa la democrasia namshauri ajiuzulu au awafukuze kazi waliomshauli kjfanya uhalifu huo wa kidemocrasia bado sioni nafasi yake tena kama rais mwenye heshima east africa .

Ni rahisi kusema ukiwa nje, mambo mengine ni ngumu kuyaelewa kama wewe siyo muhusika mkuu, hii Dunia siyo lele Mama na haikuundwa kwa ajili ya watu dhaifu hivyo Uhuru Kenya asipodestroy basi watamdestroy hivyo ni lzm adestroy beyond repair kama anajipenda, rahisi kihivyo tu!
 
Still no good leader in Africa compared to uhuru. He knows what he does. That's why those people opposing uhuru are advised by others including Laila.
If the idea of engaging the new election and opposing the presidential results was his own idea Laila could not end up on the way before election date. That was an advise from enemies of Uhuru to Laila including some neighbors leaders. Waswahili tunasema Za kuambiwa changanya na zako. Laila ni sikio la kufa haliwezi kusikia dawa.
 
Comment #27 mwingine anaita rais wa Kenya Uhuru Kenya, comment #28 mwingine anaongelea Laila. Swali langu, hawa ni watz kweli au ni batu ba DRC?
 
Ni rahisi sana kuahidi kuwatumikia wakenya ukiwa kwenye kampeini ili upewe kura. But, once umeingia pale ikulu, akili huharibika kwa sababu unakutana na mabo mingi na unatamani uyamalize yote kwa mara moja.
Uhuru was very very good in the beginning but as time went by, akaharibikiwa. He is not in the right path. Labda ni ile majani wanasema anakula imemharibu

Hapana acheni utani mwingine! Siku zote adui yako akirudi nyuma unajiuliza nini kinafuata. Mikakati yako yote ya kupambana naye uso kwa uso ili ummalize inakuwa imeharibika. Hujui sasa nini kitatokea. Alichofanya RAO ni "Guerrilla Tactics." Alijua mpinzani wake lazima atafanya kila kitu ashinde kura ya 26 Oktoba. Hivyo amejitoa na hii imeihangaisha Jubilee. Tulimshauri RAO kwa mbali humu JF asiandamane, asifanye fujo akae nyumbani. Hakusikia. Anaiingiza Kenya kwa shida nyingine. Hawezi kukwepa lawama.
 
Siasa za kenya huzijui kabisa.

Musando aliuawa na mapenzi nje ya ndoa siyo na Uhuru.

Huyu Mama Roseline Akombe na IEBC Chair ni NASA moles sasa ulitegemea nini?

Mauaji hakuna aliyethibitisha hadi leo upande upi wahusika mengine ni wewe wayapika
Acha ushabiki wa kitoto huo, hao polisi wanaowauwa waandamanaji, na asilimia 90 waliouliwa ni Jaluo, na report ya transparency inernational nayo inadanganya?
 
Unatamani uwe mkenya, lakini hamna namna, macho elekeza chini na unyenyekee, tunafanya vitu ambavo labda kama mtz hutaona kamwe maishani mwako. Siku moja mtaacha uoga CCM itawaadhibu sana kabla mfanikiwe kuing'oa, sisi tulitoka huko 2002! Watch and learn.
Kutamani kuuwana kila siku, unachekesha, huna uhakika kama mwaka kesho utakua hai, unaweza kufa kwenye fujo za uchaguzi wa 26 October, who knows, sasa hivi hata kutembelea Kenya hakuna mtu anataka
 
Kutamani kuuwana kila siku, unachekesha, huna uhakika kama mwaka kesho utakua hai, unaweza kufa kwenye fujo za uchaguzi wa 26 October, who knows, sasa hivi hata kutembelea Kenya hakuna mtu anataka
Kwani mgeni ndo atafanya uhame kwako? Wewe utaishi milele kwa sababu umeamua kuishi kama kondoo hadi ndani ya nyumba yako wanakwambia utakavoishi? Huo sasa ndo ukenya, hatupendagi ujinga! Kama hamna cha kufanya maishani mwenu isipokuwa kuongea kuhusu Kenya tulieni basi mwambiwe mnajifanya kaka sungura wakati hata masikio marefu hamna?
 
Sisi ndo tuliewasaidia kumpiga Lissu risasi au kuwatafuna albino kwa ugali kama dagaa? Jitizameni kwa umkini kwenye kioo. Watz mna roho mbaya, nyeusi ilojaa fitna na unafik.
Are Tanzanians Killing Luos out there? Watz Tumekosa nini msee?
 
Kwani mgeni ndo atafanya uhame kwako? Wewe utaishi milele kwa sababu umeamua kuishi kama kondoo hadi ndani ya nyumba yako wanakwambia utakavoishi? Huo sasa ndo ukenya, hatupendagi ujinga!
Mnapigwa risasi bila sababu za msingi na hamna la kufanya, huo upumbavu huwezi kukuta popote duniani..made in Kenya only
 
Kwani mgeni ndo atafanya uhame kwako? Wewe utaishi milele kwa sababu umeamua kuishi kama kondoo hadi ndani ya nyumba yako wanakwambia utakavoishi? Huo sasa ndo ukenya, hatupendagi ujinga! Kama hamna cha kufanya maishani mwenu isipokuwa kuongea kuhusu Kenya tulieni basi mwambiwe mnajifanya kaka sungura wakati hata masikio marefu hamna?
Unavyojinasibu utadhani hao watawala wenu ni wazungu ama wageni toka uchina, kumbe ni nyie kwa nyie.
 
Mnapigwa risasi bila sababu za msingi na hamna la kufanya, huo upumbavu huwezi kukuta popote duniani..made in Kenya only
Made in Kenya. Hapo inakuhusu nini? Tafuna mnofu wa albino na makande ukalale kijana.
 
Unavyojinasibu utadhani hao watawala wenu ni wazungu ama wageni toka uchina, kumbe ni nyie kwa nyie.
Stupid Kunyans.
Hujui? Ukizaliwa mkenya hapo shahada kutoka chuo kikuu umeshakabidhiwa. Ndo maana kama kawa tunafanya afu mnacopy paste, toka enzi za Adamu na Hawa.
 
Hujui? Ukizaliwa mkenya hapo shahada kutoka chuo kikuu umeshakabidhiwa. Ndo maana tunafanya afu ndo mnacopy paste, toka enzi za Adamu na Hawa.
Wait,.. are u f.u.ckin kidding me?
You've been ruled by the same incompetent thugs & Land grabbers since your independence,
Nyie Wakenya ni Wezi, Wabaguzi, wakabila, wauaji, Sura na Roho zenu mbaya,
Tujifunze nini kwenu Stupid Kunyans?
 
Suala la albino tulisha sahau huku, vipi leo mumchinja jaluo ngapi?
Mmesahau lakini albino wamesahau mlivowachemsha wenzao mkanywa supu? Angalau mjaluo ana nguvu ya kupambana vipi albino, wengi wao si ni vipofu?
 
Wait,.. are u f.u.ckin kidding me?
You've been ruled by the same incompetent thugs & Land grabbers since your independence,
Nyie Wakenya ni Wezi, Wabaguzi, wakabila, wauaji, Sura na Roho zenu mbaya,
Tujifunze nini kwenu Stupid Kunyans?
Look at yourself you have been ruled by the same thiefs, sell outs, ONE party since indepence and you have never complained even ONCE. Do you want to enter into the guiness book of records or something?
 
Mmesahau lakini albino wamesahau mlivowachemsha wenzao mkanywa supu? Angalau mjaluo ana nguvu ya kupambana vipi albino, wengi wao si ni vipofu?
Katika miaka yote ya mauaji waliuliwa albino 70+, kuanzia August tu hadi leo Jaluo 60 wameshatafunwa, leo magari 15 ya kubeba nyama ya Jaluo yamepelekwa, ikifika Desemba Jaluo 400 watakuwa wameshachinjwa, very primitive society indeed
 
Back
Top Bottom