Uhuru has failed miserably in fighting graft, should learn from Magufuli - Kalonzo

kilam

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
2,092
Reaction score
2,128
Wiper leader Kalonzo Musyoka has applauded Tanzanian President John Magufuli for his relentless efforts in fighting corruption in his country.

Kalonzo said corruption is the cancer consuming many African nations.

“Tanzania has a President who has committed himself to fight graft because that is the problem in many of the African countries, we comment him, we hope he can come around and help us in Kenya for two months,” Kalonzo said.

Read: Learn from Magufuli to win corruption war, Karua tells Uhuru

Kalonzo was speaking on Saturday when he attended a farewell party of Miss Sharon Ogeto who is getting married to his Tanzania fiancé Humfrey Ephraim from Bukoba at their residence in Karen.

He said the EAC integration is one of the projects he worked for during his tenure as the Foreign minister of Kenya.

Kalonzo served as the first chair of the tripartite committee set up by the East African Presidents in the 1990’s to revive the collapsed cooperation.

Kalonzo said this, efforts by the young generation must be encouraged to among other things suppress the ghost of tribalism, which he said, is slowly eating up the Kenyan nation fabric.

“To slay the ghost of tribalism, beautiful deeds such as these must be encouraged, as leaders we should borrow a leave from these young ones and embrace each other as Kenyans and East Africans,” he said.
Uhuru has failed miserably in fighting graft, should learn from Magufuli - Kalonzo
 
Things like this is why cord is gaining two points and going 5 back...sasa how can he learn from JPM ???? HE DOESNT HAVE THAY POWER .....EVEN IF AM CORRUPT UHURU CANNOT FIRE ME BY WORD OF MOUTH BUT BY COURT OR PARLIAMENT!!
 
Hata ukishikwa red handed? Hizi katiba hizi zina faida na madhara mengi sana sumtyms.
 
Mimi nakuhakikishia Magu akipewa urais Kenya atatamani kuutema siku hiyo hiyo ya kwanza. Kuwaongoza Wakenya kwa kutumia mikwara, ubabe na vitisho ni vigumu sana, inabidi ufuate utawala wa sheria na mifumo iliyopo ya kikatiba. Huko tulitoka zamani zile za Moi eti kwamba rais angeweza kumfuta na kumwajiri yeyote na popote na kwa wakati/muda wowote anaotaka au kufikiria au kuwaza.
Rais Uhuru alijaribu na ameishia kuheshimu sheria baada ya kutafsiriwa Kenya ya leo sio ile ya zama za babake.

Halafu vipi pamoja na mikwara ya kwenu mumefikia wapi ufisadi Bongo kama Lugumi, IPTL, escrow na mengineyo.
 
That's why mmefeli. (Miserably)
Hiyo constitution mliyonayo siyo size yenu.
Ndio maana kwenye corruption index mnapaa kila kukicha,
Kwakweli tunatamani katiba kama ya Kenya but not this time,
Our problem isn't only constitution dude.
Let's go slow but sure!
 
Mimi nakuhakikishia Magu akipewa urais Kenya atatamani kuutema siku hiyo hiyo ya kwanza. Kuwaongoza Wakenya kwa kutumia mikwara, ubabe na vitisho ni vigumu sana, inabidi ufuate utawala wa sheria na mifumo iliyopo ya kikatiba. Huko tulitoka zamani zile za Moi eti kwamba rais angeweza kumfuta na kumwajiri yeyote na popote na kwa wakati/muda wowote anaotaka au kufikiria au kuwaza.
Rais Uhuru alijaribu na ameishia kuheshimu sheria baada ya kutafsiriwa Kenya ya leo sio ile ya zama za babake.

Halafu vipi pamoja na mikwara ya kwenu mumefikia wapi ufisadi Bongo kama Lugumi, IPTL, escrow na mengineyo.
Wewe kubali kuwa Uhuru hana ujasiri wa kushughulikia ufisadi, acha kujificha nyuma ya kivuli cha katiba. Watu kama Anne Waiguru walikuwa chini yake lakini hakuwa na ujasiri wa kuwafuta kazi kutokana na yeye mwenyewe Uhuru kutokuwa msafi. Watu wote wanaofutwa kazi na Magufuli wapo chini ya uteuzi wake. Usitake kutudanganya hapa kuwa katiba ya Kenya inaruhusu ufisadi.
Uhuru ni tapeli na muuaji wa Kiambu, usitegemee mtu aliyewadhamini Mungiki atakuwa na uchungu na Kenya.
Learn from Magufuli to win corruption war, Karua tells Uhuru
 
Mimi nakuhakikishia Magu akipewa urais Kenya atatamani kuutema siku hiyo hiyo ya kwanza. Kuwaongoza Wakenya kwa kutumia mikwara, ubabe na vitisho ni vigumu sana, inabidi ufuate utawala wa sheria na mifumo iliyopo ya kikatiba. Huko tulitoka zamani zile za Moi eti kwamba rais angeweza kumfuta na kumwajiri yeyote na popote na kwa wakati/muda wowote anaotaka au kufikiria au kuwaza.
Rais Uhuru alijaribu na ameishia kuheshimu sheria baada ya kutafsiriwa Kenya ya leo sio ile ya zama za babake.

Halafu vipi pamoja na mikwara ya kwenu mumefikia wapi ufisadi Bongo kama Lugumi, IPTL, escrow na mengineyo.

Wacha porojo mingi bwashee,Izo scandals zenyu zinafuata sheria na mifumo kikatiba? Mtz atapewaje uraisi Kenya, hakuna mtz ana shida na iyo nyadhifa, makabila yenyu wenyewe kwa wenyewe mnanyimana madaraka hadi mnauana, sembuse mtz, si mtamchuna ngozi.
 
Hehehe!! Mnavyotiririka... hadi raha, naona mumeguswa penyewe. Ndio hapo, utawala wa sheria na mifumo ya kikatiba ndio dawa, lakini hayo ya kufoka na mikwara utaishia kuwababaisha watu wa chini lakini kule juu wanakuangalialia kwenye hatua kumi na nane zao.

Kenya hatujafika, lakini hatua zilizopo ni chanya, tunatoka na tunaenda, gurudumu linazunguka tu... mafisadi wanaburuzwa mahakamani hadi kero. Sio kazi rahisi maana yalikua yamekita mizizi, watu walizoea kuiba na kulindwa na mifumo ya uongozi, leo hii hata rais hana uwezo wa kukulinda. Mawaziri wake hata wale wa karibu naye walinyofolewa, alijaribu kukwama nao, lakini mfumo uliopo haukumpa fursa au nafasi ikabidi aachie tu.

Tutafika tu, na tunakwenda tena kwa kasi. Leo hii jaji mkuu hateuliwi na rais, inabidi Wakenya wenye uwezo wajitokeze na kujieleleza uwezo wao na sifa zao tena mbele ya runinga ya taifa. Hiyo ndio taswira hata kwenye nyadhifa zingine nyeti....taasisi na mifumo ndio ngao yetu, sio mihemko ya mtu mmoja ambaye kila siku inabidi watu wakae makini wakimsubiri hawajui ataibuka na lipi leo.
 
Manyang'au bana!!! Pamoja na uwazi wa katiba yenu rushwa imepaa kwa kasi ya ajabu!! Tulikwisha acha ligi na nyinyi maana hakuna jipya. TZ tuna style yetu kujirekebisha, kwanini mnataka kujilinganisha? Umesema gurudumu linazunguka; well good for you!! Nasisi linazunguka kwa style yetu- whay comparison?

Subiri tu baada y amiaka kumi tutaongea vizuuuri...na mtatuelewa.

"The sleeping giant awakens"
 
Ile katiba ni ya Wakikuyu, ya wakenya wote bado, yenyewe itakuwa na kipengele cha kuzuia GEMA kugombea urais.
 
Manyang'au bana!!! Pamoja na uwazi wa katiba yenu rushwa imepaa kwa kasi ya ajabu!! Tulikwisha acha ligi na nyinyi maana hakuna jipya. TZ tuna style yetu kujirekebisha, kwanini mnataka kujilinganisha? Umesema gurudumu linazunguka; well good for you!! Nasisi linazunguka kwa style yetu- whay comparison?

Subiri tu baada y amiaka kumi tutaongea vizuuuri...na mtatuelewa.

"The sleeping giant awakens"

Inabidi tujilinganishe ili kukumbuka tulikotoka na kushukuru. Yaani kwenu hata upinzani hawana ruhusa ya kutoa misaada kwa waliokutwa na majanga. Najaribu kupata picha leo hii eti akina Raila ambao ni viongozi wetu wa upinzani itokee wanakwenda kutoa misaada sehemu halafu wazuiliwe na mapolisi kama mlivyomfanya Mbatia.

Kama nilivyosema, bado hatujafika tunakokwenda, lakini tukiangalia nyuma yetu na kuona majirani waliko, inabidi tukubali kwamba hatua tumezipiga nyingi. Uganda kule kiongozi wa upinzani anaishi jela, ila bora wao huthubutu kupinga wasilolitaka, lakini Bongo ndio usingizi kabisaaaa.
 
Ndio maana hapa ni tz hata huyo uhuru akipewa aiongoze tz atakimbia ndani ya siku moja
 
Hivi why mnapenda minyukano isiyo na tija?? We are East Africa.... We are one.

Muachage ungese
 
Inabidi tujilinganishe ili kukumbuka tulikotoka na kushukuru. Yaani kwenu hata upinzani hawana ruhusa ya kutoa misaada kwa waliokutwa na majanga. Najaribu kupata picha leo hii eti akina Raila ambao ni viongozi wetu wa upinzani itokee wanakwenda kutoa misaada sehemu halafu wazuiliwe na mapolisi kama mlivyomfanya Mbatia.

Kama nilivyosema, bado hatujafika tunakokwenda, lakini tukiangalia nyuma yetu na kuona majirani waliko, inabidi tukubali kwamba hatua tumezipiga nyingi. Uganda kule kiongozi wa upinzani anaishi jela, ila bora wao huthubutu kupinga wasilolitaka, lakini Bongo ndio usingizi kabisaaaa.
Hatuwezi kuruhusu wanasiasa kutumia majanga kama njia ya kutafuta kiki. Upuuzi kama Wa Uhuru na Raila hatuwezi kuachia kwenye jamii yetu iliyostaarabika.

Uhuru, Raila clash at Ntimama funeral - VIDEO
[VIDEO] Uhuru tells off Raila in an ugly face-off at funeral of Ntimama
 
Msitamani kuongozwa na Magufuli. Watanzania tunajuta . One man show inatutesa
 
Kalonzo nakuomba sana tena sana usiombe Kenya mkapata rais kama huyu wa kwetu.mtajutaaa
 
Msitamani kuongozwa na Magufuli. Watanzania tunajuta . One man show inatutesa
Unajuta wewe na nyumbu wenzako, peleka utoto wako kwenye jukwaa la siasa kwenye ubishi wa kipumbavu.
 
Back
Top Bottom