kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Sio dispensary ni hospital, iko pale barabara ya uhuru kama unaelekea mlango mmoja.Hiyo Uhuru dispensary iko eneo gani Hapa mz?
Huu msemo mie naona huwa ni kujifariji tu!unanikera mno huu msemo!endeleeni kujipa moyo!Maisha haya.... Utaambiwa jamaa kaanza mishe ndogo ndogo toka akiwa chuo kupitia boom lake.... U will never lesrn the wholevtruth
Si dispensary bonge ya hospital kama unaenda nyegezi karibu kabisa na kambi ya jeshiHiyo Uhuru dispensary iko eneo gani Hapa mz?
Kuna daktari mmoja matata sana. Nikiwa mwanza lazima njfike kuchek afya hata kama siumwi.Uhuru hospital..... Hospitali bomba sana hii..... Sio kubwa ila huduma bora kabisa..... Hata ambulance yao nzuri....safi sana
Kwa hiyo barabara ya Uhuru kama unaelekea Mlango Mmoja vipo jirani na Nyegezi karibu kabisa na kambi ya jeshi?Si dispensary bonge ya hospital kama unaenda nyegezi karibu kabisa na kambi ya jeshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.... Halafu si yupo single eti..Kuna daktari mmoja matata sana. Nikiwa mwanza lazima njfike kuchek afya hata kama siumwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefungua kubwa Maeneo ya iseni ukitoka nyegezi jeshini kwa chini hapoSio dispensary ni hospital, iko pale barabara ya uhuru kama unaelekea mlango mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri huyo anajitambua sasaSio dispensary ni hospital, iko pale barabara ya uhuru kama unaelekea mlango mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app