Izzi
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 553
- 1,144
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amenukuliwa akisema;
- "Hakuna Bodaboda wala Bajaji itakayokamatwa eti kisa ameingia katikati ya Jiji, mtafanya kazi zenu kwa uhuru mipaka yote ya Dar es Salaam ni halali yenu, hata mkisema tunafanya tamasha la Bajaji na Bodaboda hapa Mnazi Mmoja tutafanya, kikubwa zingatieni sheria”
- “Na kwasababu Madereva Bodaboda na Bajaji mmempongeza Mwenyekiti wetu wa Taifa -CCM (Dkt.Magufuli), na mnajua kipindi hiki ni cha uchaguzi, nawaomba Bodaboda iwapo katikati yenu kuna mtu anajiona anatosha na ana uwezo wa kuchukua fomu ya CCM ya Udiwani au Ubunge chukueni”- RC MAKONDA
Chanzo: Millard Ayo
Huu upendo wa ghafla kwa bodaboda mbona kama unatia shaka! Naiona kama ni takrima flani hivi. Wakati wa uchaguzi viongozi wetu huwa wana desturi ya 'kulegeza kamba' - naona kama mambo ndo kwanza yameanza. Tutaona mengi.