DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Baada ya zile fujo aliyekuwa Rais ni Mwai Kibaki sio UhuruUhuru Kenyatta sio mwana demokrasia bali amelazimika kukubali uamuzi wa mahakama. Kumbuka ule uchaguzi uliomweka madarakani kwa mara ya kwanza ulisababisha vurugu katika nchi ya kenya, watu wengi waliuawa, wengine ni vilema hadi leo. Uhuru Kenyatta na Ruto walifikishwa kwenye mahakama ya kimataifa. Kutokana na funzo alilolipata huko nyuma hana njia nyingine ya kufanya ila kukubali uamuzi wa mahakama kuu wa kutengua matokeo ya uchaguzi. Uhuru anajua kabisa nini kitatokea akipuuza hukumu ya mahakama kuu. Wapinzani walikuwa wametulia kwa muda wanasubiri hukumu ya kesi waliyoifungua kupinga matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi uhuru kenyatta. Kwa wanaofahamu na kufuatilia siasa nchini Kenya wanajua kabisa Uhuru hana ubavu wa kupinga hukumu ya kutengua ushindi wake
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app