Uhuru Jomo KENYATTA Ni Mandela Wa Pili Afrika

Jamaa anaongea vzuri kiundugu kabisa, huyu mpumbani wenu sijui anavuta bangi, hajui kuongea na wananchi, ubabe mwngi, mikwala, duuh!!! "Sijataja mtu jina" ila namchukia sana ajifunze kutoka kwa jirani

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Kwani Mandera nae aliiba kura?
 
Ufujaji wa mali ya umma wakenya wanakufa njaa turkana hawana maji, chakula shida, madawa tatizo wanaenda kupoteza pesa kwenye mambo ya kipumbavu kuna vitu vingine ukivifikiria kwa undani havina msingi, lazima Uhuru atashinda tena.
 
Yaani ni kama dollar billion 1 mlizitupa chooni, hiyo pesa ingetosha kumaliza shida mingi sana Kenya. Poleni
 
Acha ujinga, kaiba kura, nani kamuua Msando? Server zimeingiliwa. Huyo ndo Mandela? Au kwa kuwa una maruerue ya team ENL aliyejipeleka NRB? Nuksi ya Lowasa mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kumfananisha Mandela na mambo ya kipuuzi
 
Chadema mnahangaika ninyii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et mandela
 
tehe tehe tehe, mwizi anaposhikwa na ku surender anasifiwa, HII INATAKIWA IONYESHE JINSI GANI AFRICA IMEKOSA DEMOCRACY...
Kwani angeshindwa nini kuhalalisha wizi wake wakati uwezo huo anao. Yaani mtu kama wewe utakuwa ni ccm tu. Mbio za mwenge imewadumaza. Tunashauri mbio za mwenge ziondolewe ili WATANZANIA wapone
 
Peleka upumbavu wako aturudishie Msando na Madam Odinga kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…