Uhuru Kenya is Milking Kenya Dry!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Nafikiri kati ya Viongozi hovyo siajabu kuwahi kuongoza nchi ya Kenya ni Uhuru Kenya, huyu jamaa amerithi nchi nzuri (relatively) iliyoongozwa na kujengwa vizuri na maraisi waliopita hasa Mwai Kibaki, lkn yeye zaidi ya kuingizia Kenya madeni hakuna kipya anachokifanya, sasa nimesoma kwamba amekwenda nchini Kanada kuwapelekea Wazungu 500 milion Dollars Kenyans hard earned money eti mchango wa sijui funds gani ya Wazungu, WTF!

Hivi huyu Uhuru Kenya akili zake zinamtosha ama? tangu lini third World country ikachukua 500 milion dollars kupeleka first world country? Nilifikiri ilipaswa iwe kinyume chake!
Ulichofanya kinaitwa capital flight raisi Uhuru Kenya!

Hii ndiyo tabu ya kuchagua watu ambao hawajui shida ni nini, huyu Uhuru Kenya siajabu hajawahi kuajiriwa, kuomba kazi wala kulipa kodi mahali popote maishani mwake na wala hajui hata mshahara ni nini ndiyo maana anachezea fedha ya masikini, Wakenya mnapaswa mmfukuze huyu jamaa Ikulu kabla hajawafilisi ...Unapelekea Mzungu 500 milion dollars ktk Afrika?

Ni kwa nini sasa Diaspora hata wanatuma fedha nyumbani kwao Kenya kama Uhuru Kenya anazichezea na kuzirudisha kwa Wazungu?


Uhuru Kenya akila good time Ikulu, akicheza rugby!



 
Kama iko sawa MK254 and kenyan they need to think more...!
 
Kuna msemo... siukumbuki vizuri but its something like this..
NO ONE IS SO POOR THAT HE CANNOT GIVE, AND NO ONE IS SO RICH THAT HE HAS NOTHING TO RECIEVE.
Its never about how rich you are.
 

Source please????
 
Kama iko sawa MK254 and kenyan they need to think more...!

Hii issue sijaisoma vizuri, hivyo sitakurupuka na jibu bila kuelewa kwa undani, subiri niifuatilie kwanza kwenye vyanzo vya habari, ila napata raha jinsi Watanzania hufurahia uhuru wa maoni wakati wanajadili siasa za Kenya. Hebu fikiria alichoandika mleta mada na maneno aliyotumia leo hii ubadilishe jina la Uhuru na kuweka la Magufuli, yapi yatamkuta.

Nilikua nasoma sehemu eti Watanzania watano wamefikishwa mahakamani leo kwa kumtukana Magufuli, kwa mwendo huu itabidi muongeze jela Tanzania, yaani kweli sababu za nyie kupata raha Kenya, soma hapa Five charged with insulting Tanzania President Magufuli on social media
 
Na mbona Barbarosa haukuweka source ya hiyo taarifa kuhusu hiyo donation unasema hapo tusome, tuielewe? Mimi sina habari kuhusu hiyo madai yako, na wala siioni kwenye mitandao ya habari.

NB: Rais wetu anaitwa "Kenyatta", sio "Kenya".
 
Uyo ndo best prezidaa africa
Unaropokwa.
This could be a character assassination.
President Kenyatta wouldnt just give away $500m (DOLLARS!) to a foreign country without a justifiable reason.
 
hizo pesa ameple Sidhani kama ni 500m USD, nafikiri ilikua ni 500m Ksh.....
hizo pesa ni za mchango unaitwa Global Fund to Fight Aids, Tuberculosis and Malaria.......
kitu cha kwanza unafaa ujue, kenya nchi ambayo imepewa pesa nyingi zaidi kutoka kwa hio organisation,hio ni kwasababu sisi ndo one of the biggest funders wa hio organisation kutoka africa.. kwahivyo tukupeana, tunajua tutapewa nyingi zaidi.. wanasema kunahitajika $15B ili kukabidhi hayo maginjwa ipaswavyo, Africa ndo nchi ambayo imethiriwa zaidi, lakini nchi za kiafrica hua haxijishuhulishi kutoa pesa za kutosha kubadhi hayo magonjwa

Kitu cha pili, hizo pesa tunapeana, lakini vile sisi ni nchi ya kiafrica na pia mmoja wapo wa recepients, hizo pesa in actuality hazitatoka nje ya kenya, kwa account ya global fund itasema pesa imeingia, lakini, global fund watahitajika kutumia hizo pesa kwa miradi ya kenya.... alafu zile 500m ambazo global fund ilikua itumie kenya kutoka kwa mifuko yao watazitumia ku fund nchi nyengine.....
yaani in short, kile ambacho kenya imefanya, ni kujaribu kujitegemea mwenyewe badala ya kutegemea msaada wa nje
statisticts za serikali zinasema

In Ken
 
Mark Dybul, Executive Director of the Global Fund, thanked President Kenyatta and the people of Kenya for the funds, saying the contribution underlines Kenya’s status as a leader in global health in the region.
“Kenya’s new commitment to the Global Fund is a demonstration of outstanding leadership in global health and development.
“Kenya is leading the way in showing that middle- and low-income countries can invest strongly together with high-income countries to create adequate resources to end HIV, tuberculosis and malaria as epidemics while building sufficient systems for health to accelerate progress toward universal health coverage in Africa,” he emphasized.
Global Fund’s fifth replenishment program is scheduled to be held in Montréal, Canada, on 16-17 September 2016.
Facts: Kenya and the global fund contribution
It is estimated that in the last 3 years, Kenya has received Sh33 billion to fight HIV, Malaria and TB.
The Global fund needs $13 billion (approx. Sh1.3 trillion) to be able to cater for the beneficiary countries.
Kenya has been a beneficiary of the Global Fund since 2003.
The money that Kenya has been receiving over the last few years has helped save the lives of thousands of Kenyans.
For instance, close to one million people who are living with HIV in the country are on anti-retroviral treatment funded through the kitty.
 

Do you know a president called Mr john pombe magufuli kutoka hukoooo tanzania!!!! Ni rais wako nadhani! You going to die googling Kenya. chukua break kwa kutembelea vibanda vingine. I will recommend you google Tanzania!!!! tanzaniaaaaa!!!
 
Do you know a president called Mr john pombe magufuli kutoka hukoooo tanzania!!!! Ni rais wako nadhani! You going to die googling Kenya. chukua break kwa kutembelea vibanda vingine. I will recommend you google Tanzania!!!! tanzaniaaaaa!!!


Haujui Kiingereza
 
Haujui Kiingereza
Yes john pombe magufuli, the fungua biashara ya kuuza nyanya fame!!! Na vibanda ni vingi chini ya mwavuli wa Tanzania UA ni nchi za Tanganyika na Zanzibar....... Google that pal.....
 
Yes john pombe magufuli, the fungua biashara ya kuuza nyanya fame!!! Na vibanda ni vingi chini ya mwavuli wa Tanzania UA ni nchi za Tanganyika na Zanzibar....... Google that pal.....


Haujui Kiswahili wala Kiingereza!
 
Yes john pombe magufuli, the fungua biashara ya kuuza nyanya fame!!! Na vibanda ni vingi chini ya mwavuli wa Tanzania UA ni nchi za Tanganyika na Zanzibar....... Google that pal.....
haueleweki...use english bro
 

Kibaki donated some millions when Japan was decimated by an earthquake. The mentality that only those with abundant money can give is misplaced
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…