Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Nafikiri kati ya Viongozi hovyo siajabu kuwahi kuongoza nchi ya Kenya ni Uhuru Kenya, huyu jamaa amerithi nchi nzuri (relatively) iliyoongozwa na kujengwa vizuri na maraisi waliopita hasa Mwai Kibaki, lkn yeye zaidi ya kuingizia Kenya madeni hakuna kipya anachokifanya, sasa nimesoma kwamba amekwenda nchini Kanada kuwapelekea Wazungu 500 milion Dollars Kenyans hard earned money eti mchango wa sijui funds gani ya Wazungu, WTF!
Hivi huyu Uhuru Kenya akili zake zinamtosha ama? tangu lini third World country ikachukua 500 milion dollars kupeleka first world country? Nilifikiri ilipaswa iwe kinyume chake!
Ulichofanya kinaitwa capital flight raisi Uhuru Kenya!
Hii ndiyo tabu ya kuchagua watu ambao hawajui shida ni nini, huyu Uhuru Kenya siajabu hajawahi kuajiriwa, kuomba kazi wala kulipa kodi mahali popote maishani mwake na wala hajui hata mshahara ni nini ndiyo maana anachezea fedha ya masikini, Wakenya mnapaswa mmfukuze huyu jamaa Ikulu kabla hajawafilisi ...Unapelekea Mzungu 500 milion dollars ktk Afrika?
Ni kwa nini sasa Diaspora hata wanatuma fedha nyumbani kwao Kenya kama Uhuru Kenya anazichezea na kuzirudisha kwa Wazungu?
Uhuru Kenya akila good time Ikulu, akicheza rugby!