Uhuru Kenya is Milking Kenya Dry!

Uhuru Kenya is Milking Kenya Dry!

Hii issue sijaisoma vizuri, hivyo sitakurupuka na jibu bila kuelewa kwa undani, subiri niifuatilie kwanza kwenye vyanzo vya habari, ila napata raha jinsi Watanzania hufurahia uhuru wa maoni wakati wanajadili siasa za Kenya. Hebu fikiria alichoandika mleta mada na maneno aliyotumia leo hii ubadilishe jina la Uhuru na kuweka la Magufuli, yapi yatamkuta.

Nilikua nasoma sehemu eti Watanzania watano wamefikishwa mahakamani leo kwa kumtukana Magufuli, kwa mwendo huu itabidi muongeze jela Tanzania, yaani kweli sababu za nyie kupata raha Kenya, soma hapa Five charged with insulting Tanzania President Magufuli on social media
The post was written in Kiswahili and can be loosely translated as, “I don’t know what is going on in JPM’s head… He doesn’t even know how to say sorry. We are at this stage because of one person who believes that what he thinks is always right…he needs to understand that politics isn’t about resentment and the Opposition isn’t an enemy…he should learn to compete with the Opposition on the basis of debate, not force.”
 
This is very chilling...they should be very scared. Reminds me back in the days when you couldn't mention Moi's name even when intoxicated.
 
haueleweki...use english bro

napenda jinsi watanzania kama wewe na mwenzako mleta mada mnateseka usiku kucha ndoto kuu ni kenya...........vidole vya mkono mtatumia google viwake moto muombe kugeukia vya miguu .............kuhusu matumizi ya lugha ya kiingereza hapo sisemi kitu kwani mtanzania na kizungu ni mtu na mkwe wake.... hawa wawili hawapatani!!!!
 
Haujui Kiswahili wala Kiingereza!
napenda jinsi watanzania kama wewe mnateseka usiku kucha ndoto kuu ni kenya...........vidole vya mkono mtatumia google viwake moto muombe kugeukia vya miguu .............kuhusu matumizi ya lugha ya kiingereza hapo sisemi kitu kwani mtanzania na kizungu ni mtu na mkwe wake.... hawa wawili hawapatani!!!!
 
I am liking the milking!!!

Wh8gOYM.jpg
q67Iv1A.png

DIz66Zj.jpg
VLb8wFv.jpg
wlTpHO4.jpg

CRjdABB.jpg
g255CD6.jpg
8RkkP8i.jpg
9zPIb59.jpg
bEgWyEI.jpg
3Vr4Bia.jpg
CqeYDIlWYAAF7aD.jpg
CqeXkDAUEAARqSp.jpg
Cqefae2XYAAYwQt.jpg
CqefogZWgAQPL4T.jpg
CqeftNcWgAALlRL.jpg
 
Meanwhile I am liking my neighbors even more!!!
Five charged with insulting Tanzania President Magufuli on social media
magufuli.jpg

Mr Dennis Temu, Mr Suleiman Nassoro, Ms Shakira Makame, Mr Juma Mtatuu and Mr Dennis Mtegwa appeared before different magistrates. They denied the charges and were released on bail.

Five people appeared before a Tanzanian court Wednesday charged with insulting President John Magufuli on social media.

The five - Dennis Temu, Suleiman Nassoro, Shakira Makame, Juma Mtatuu, Dennis Mtegwa - were arraigned before different magistrates where they denied the charges.

They were separately charged with five offences of sharing offensive content targeting the president and the police between August 24 and 30, this year, contrary to Section 118(a) of the Electronic and Postal Communications Act No. 3 of 2010.

State Attorney Salum Mohamed told the court that Mr Mtegwa posted an abusive and offensive comment on a WhatsApp group called DSM 114U Movement. He was arraigned before Resident Magistrate Yohana Yongolo.

The post was written in Kiswahili and can be loosely translated as, “I don’t know what is going on in JPM’s head… He doesn’t even know how to say sorry. We are at this stage because of one person who believes that what he thinks is always right…he needs to understand that politics isn’t about resentment and the Opposition isn’t an enemy…he should learn to compete with the Opposition on the basis of debate, not force.”

The prosecution also alleged that Mr Temu, Mr Nassoro, Ms Shakira and Mr Mtatuu shared a post through Facebook and WhatsApp that was intended to turn the public against the police.

“While they are preparing to fight the Opposition, criminals are preparing to commit crime,” reads part of the shared message.

The court later released them on bail of Tsh500,000 (about $230) each after defence lawyer Tundu Lissu objected to a request by the prosecution that they be remanded pending completion of ongoing investigations.

The cases were adjourned to September 27.
 
napenda jinsi watanzania kama wewe mnateseka usiku kucha ndoto kuu ni kenya...........vidole vya mkono mtatumia google viwake moto muombe kugeukia vya miguu .............kuhusu matumizi ya lugha ya kiingereza hapo sisemi kitu kwani mtanzania na kizungu ni mtu na mkwe wake.... hawa wawili hawapatani!!!!
Fallacy of generalization!
 
Lakini haibadilishi ukweli kwamba wewe haujui Kiingereza hata kama Watanzania hatujui Kiingereza inaeleweka lkn wewe kama Mkenya kutokujua kiingereza haileweki na ni aibu ukichukulia Kenya ni grand British colony!
 
Lakini haibadilishi ukweli kwamba wewe haijui Kiingereza hata kama Watanzania hatujui kiingereza inaeleweka lkn wewe kama Mkenya kutokujua kiingereza haileweki na ni aibu ukichukulia Kenya ni grand British colony!
Tafuta maana ya ushenzi ujitwike hilo jina. Kenya ni grand British colony in your a** only
 
I am liking the milking!!!

Wh8gOYM.jpg
q67Iv1A.png

DIz66Zj.jpg
VLb8wFv.jpg
wlTpHO4.jpg

CRjdABB.jpg
g255CD6.jpg
8RkkP8i.jpg
9zPIb59.jpg
bEgWyEI.jpg
3Vr4Bia.jpg
CqeYDIlWYAAF7aD.jpg
CqeXkDAUEAARqSp.jpg
Cqefae2XYAAYwQt.jpg
CqefogZWgAQPL4T.jpg
CqeftNcWgAALlRL.jpg

Kwa hiyo hizi picha zinapaswa kujustify Uhuru Kenya kuchukuwa 500 million Dollars Kenyans hard earned money na kuwapelekea Wazungu?
 
Lakini haibadilishi ukweli kwamba wewe haujui Kiingereza hata kama Watanzania hatujui Kiingereza inaeleweka lkn wewe kama Mkenya kutokujua kiingereza haileweki na ni aibu ukichukulia Kenya ni grand British colony!

Mjadala kuhusu lugha ya kiingereza will be an insult to my intelligence to discuss with resident of Tanganyika!!! I told you huyo ni MTU kuingia dala dala moja na mkwe wake!!!!
 
Hii issue sijaisoma vizuri, hivyo sitakurupuka na jibu bila kuelewa kwa undani, subiri niifuatilie kwanza kwenye vyanzo vya habari, ila napata raha jinsi Watanzania hufurahia uhuru wa maoni wakati wanajadili siasa za Kenya. Hebu fikiria alichoandika mleta mada na maneno aliyotumia leo hii ubadilishe jina la Uhuru na kuweka la Magufuli, yapi yatamkuta.

Nilikua nasoma sehemu eti Watanzania watano wamefikishwa mahakamani leo kwa kumtukana Magufuli, kwa mwendo huu itabidi muongeze jela Tanzania, yaani kweli sababu za nyie kupata raha Kenya, soma hapa Five charged with insulting Tanzania President Magufuli on social media

Mkuu hawa watawala hawataki kusemwasemwa vibaya, hata huko Kenya hali ni kama kwetu:
Student jailed for insulting President Kenyatta
The 5 times Uhuru has been called 'bhang smoker'
 
Back
Top Bottom