mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Baada ya matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Kenya kutenguliwa, na mahakama kuamuru uchaguzi urudiwe ndani ya siku 60, wagombea mahasimu kwa maana ya Raila Odinga wa NASA na Na Uhuru Kenyatta wa Jubilee Kila mmoja Wao alinena.
Raila Odinga aliisifu mahakama kwa kutenda haki.
Uhuru Kenyatta alikubaliana na uamuzi wa mahakama, lakini amewakosoa majaji kwa uamuzi huo.
Uhuru Kenyatta anafahamu kabisa utaratibu wa kikatiba Kenya ulikiukwa ndo maana mahakama ikatengua matokeo.
Sasa kwa Nini Uhuru Kenyatta anawatisha majaji kwa uamuzi wao, anadai akichaguliwa ata deal nao, je? Ni lipi kosa la hawa majaji!
Anamwambia Raila Odinga asahau suala la kuvunjwa kwa tume ya uchaguzi ambayo ili kiuka taratibu za kikatiba na kumtangaza yeye mshindi.
Je? kwa nn tume isivunjwe, kwa kua tayari ilitangaza matokeo bila weledi.
Kuchaguliwa kwa tume nyingine kuna madhara gani kwake?
Nahisi sifa anazopewa Uhuru Kenyatta hazistahili hata kidogo. Ni unafiki wa wanasiasa wa kiafrika na milengo yao, hujitia upofu kwa pande yenye maslahi kwao.
Uhuru Kenyatta akubali tume ivunjwe kama Raila Odinga alivyodai, isukwe upya ili kuondoa sintofahamu baina yao.
Mwisho aache kutisha jopo la majaji, kwani utaratibu wa kikatiba ulikiukwa,
alitaka wampendelee yeye?
Kitendo cha yeye kupanic, kinaonyesha ni jinsi gani damu ya Marehemu Cris Musando haita waacha salama.
Wa milengo tofauti karibuni tu share
Sent using Jamii Forums mobile app