Uhuru Kenyatta aache kupanic, kama ameheshimu uamuzi wa mahakama.

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,995
Reaction score
3,401
Baada ya matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Kenya kutenguliwa, na mahakama kuamuru uchaguzi urudiwe ndani ya siku 60, wagombea mahasimu kwa maana ya Raila Odinga wa NASA na Na Uhuru Kenyatta wa Jubilee Kila mmoja Wao alinena.

Raila Odinga aliisifu mahakama kwa kutenda haki.
Uhuru Kenyatta alikubaliana na uamuzi wa mahakama, lakini amewakosoa majaji kwa uamuzi huo.

Uhuru Kenyatta anafahamu kabisa utaratibu wa kikatiba Kenya ulikiukwa ndo maana mahakama ikatengua matokeo.

Sasa kwa Nini Uhuru Kenyatta anawatisha majaji kwa uamuzi wao, anadai akichaguliwa ata deal nao, je? Ni lipi kosa la hawa majaji!

Anamwambia Raila Odinga asahau suala la kuvunjwa kwa tume ya uchaguzi ambayo ili kiuka taratibu za kikatiba na kumtangaza yeye mshindi.

Je? kwa nn tume isivunjwe, kwa kua tayari ilitangaza matokeo bila weledi.

Kuchaguliwa kwa tume nyingine kuna madhara gani kwake?

Nahisi sifa anazopewa Uhuru Kenyatta hazistahili hata kidogo. Ni unafiki wa wanasiasa wa kiafrika na milengo yao, hujitia upofu kwa pande yenye maslahi kwao.

Uhuru Kenyatta akubali tume ivunjwe kama Raila Odinga alivyodai, isukwe upya ili kuondoa sintofahamu baina yao.

Mwisho aache kutisha jopo la majaji, kwani utaratibu wa kikatiba ulikiukwa,

alitaka wampendelee yeye?

Kitendo cha yeye kupanic, kinaonyesha ni jinsi gani damu ya Marehemu Cris Musando haita waacha salama.

Wa milengo tofauti karibuni tu share

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bingo! Mkuu hapo umenena,halafu uhuru kenyata akumbuke nyakati zimebadilika kenya sio mali yake binafsi,tusubiri tarehe ya uchaguzi mpya ya uchaguzi uone atakavyogalagazwa
 
Kenya waombe jecha akasimamie uchaguzi watafurahi sana
 
Kwakiwango alichokionyesha lazima astahili kusifiwa maana ukitaka afanye kila kitu ili raila ashinde utakua niupunguan.uhuru anahitaji kua raos wakenya hivo kama mbinu hii yakwanza imesanukiwa anacheza mbinu nyingine,lakin hayuko pale kumsaidia raila ashinde bali kumshinda sasa unatakaje akubaliane navitu ambavo baada vitakua nimwiba kwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru amebabaika sana. Anajua ukora wake umegundulika. Tangu Enzi za Kibaki na sasa Uhuru, lao kubwa lilikuwa:

1 - Kushirikiana na mafisadi wa tume la uchaguzi kuiba kura
2 - Baada kutangazwa mshindi, moja kwa moja anaamrisha askari watekeleze unyama kwa yeyote anedai haki ili kuingiza hofu kwa wapinzani huku akidai askari wanawauwa ''looters'' na kwamba maandamano hayo si halali.
3 - Kujidai mnyenyekevu na mpatanishi mkubwa huku akiwaambia watu waishi kwa amani na ujirani na wasifanye uadui kwa sababu za kisiasa.
4 - Anapata fursa ya miaka mitano mamlakani huku akusubiria kufanya uhuni huo huo miaka mitano zijazo.

Lakini safari hii maji yamezidi unga!
 
Baada ya matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Kenya kutenguliwa, na mahakama kuamuru uchaguzi urudiwe ndani ya siku 60, wagombea mahasimu kwa maana ya Raila Odinga wa NASA na Na Uhuru Kenyatta wa Jubilee Kila mmoja Wao alinena.

Raila Odinga aliisifu mahakama kwa kutenda haki.
Uhuru Kenyatta alikubaliana na uamuzi wa mahakama, lakini amewakosoa majaji kwa uamuzi huo.

Uhuru Kenyatta anafahamu kabisa utaratibu wa kikatiba Kenya ulikiukwa ndo maana mahakama ikatengua matokeo.

Sasa kwa Nini Uhuru Kenyatta anawatisha majaji kwa uamuzi wao, anadai akichaguliwa ata deal nao, je? Ni lipi kosa la hawa majaji!

Anamwambia Raila Odinga asahau suala la kuvunjwa kwa tume ya uchaguzi ambayo ili kiuka taratibu za kikatiba na kumtangaza yeye mshindi.

Je? kwa nn tume isivunjwe, kwa kua tayari ilitangaza matokeo bila weledi.

Kuchaguliwa kwa tume nyingine kuna madhara gani kwake?

Nahisi sifa anazopewa Uhuru Kenyatta hazistahili hata kidogo. Ni unafiki wa wanasiasa wa kiafrika na milengo yao, hujitia upofu kwa pande yenye maslahi kwao.

Uhuru Kenyatta akubali tume ivunjwe kama Raila Odinga alivyodai, isukwe upya ili kuondoa sintofahamu baina yao.

Mwisho aache kutisha jopo la majaji, kwani utaratibu wa kikatiba ulikiukwa,

alitaka wampendelee yeye?

Kitendo cha yeye kupanic, kinaonyesha ni jinsi gani damu ya Marehemu Cris Musando haita waacha salama.

Wa milengo tofauti karibuni tu share

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una hakili iliyotimamu ukamsikiliza vizuri jinsi anavyoongea kwa sasa baada ya kushindwa kesi, utaona kabisa yeye ni failure na yawezekana hata alikuwa kiliza darasani, kwa vile alikuwa mtoto wa rais na ukoo wa kifahali alikuwa anabebwa-bebwa tu, intellectual yoyote hawezi ku argue kama yeye na sasa inadhihirisha yeye hakustahili kuwa rais na hata ile ya 2013 alipewa tu.
 
Back
Top Bottom