Uhuru Kenyatta achagua baraza jipya la mawaziri

Hapo kwenye red ndio inamwondolea sifa ya kuwa Rais wenu. Ufisadi umegharimu sana maisha ya watu katika nchi za Afrika.
Hebu fafanua ni wakenya wagani wanaompinga WSR na pia ni ufisadi upi amejihusisha nao?
 
Hata Uganda palikuwa pagumu sana, lakini kwa nguvu ya jeshi palilainika kama mkate

Rais wa Uganda hakuingia madarakani kwa ushindi wa kura, alitokea msituni Tanzania na kwa ushirikiano wa majeshi ya Tanzania na waasi wake na maelfu ya wapiganaji, akaingizwa ikulu, tangu wakati huo hajang'atuka. Kuna tofauti kubwa sana hapo na Kenya.
 
Mimi napenda sana siasa ya Kenya 2022 kuna possibility kubwa NASA na KANU wakaungana kama Jubilee watamsimamisha Ruto. Kura za Rift valley itagawanyika mara 2 hapo ndipo uwezekano wa Ruto kuwa Rais utakufa

ndo maana unaambiwa hujui siasa za kenya. NASA na CCM ya Issack Ruto waliungana dhidi ya jubilee na hapo william ruto alikuwa hagombei urais lakin kura hazikugawika na kimafia zaidi huyo issack ruto kakosa hadi kiti huko bomet. Sasa imagine watu wao wawili mmoja anagombea urais mwingine ni mpambe wa mkamba ama mjaruo, sasa fikiria watampa nani?! mtu wao awe rais au Mkamba eti kisa anaungwa mkono na mtu wao mwingine?
 
Mimi ni Mtu wa Mt. Kenya na slogan ni "Gûcokia guoko" yani to return the favour come 2022 to WSR hizo porojo zingine sijui umeokota wapi.
Kumbe umetoka mlimani, bora umetuweka wazi, ninyi ndiyo walewaleeeeeeeeeeeee
 
Sina cha kuficha na sisi ni wale wale and come 2022 WSR 5th President of The Republic of Kenya.
Very tribal society, mtu amesoma lakini ukabila upo palepale, maana yake ni kwamba bado elimu haijawakomboa
 
Sina cha kuficha na sisi ni wale wale and come 2022 WSR 5th President of The Republic of Kenya.
Wanataka tumchague lofa kama Raila ambaye amechanganyikiwa zaidi ya ngiri eti ndo tuwafurahishe. Hilo sioni likitokea, wakenya tunafanya mambo yetu bila ya kutazama jirani yeyote ule. Jirani wenyewe wamechanganyikiwa wote. Tuna nini la kujifunza kutoka kwao jombaa? Chaguo lilikuwa kati ya U.K na RAO. Tukachagua the best suited man for the job.
 
Tz ambayo ina amani na haina ukabila kinawachowazuia muongoze kwenye bara hili ni kokosa elimu au?
Usalama, amani , umoja ni vitu muhimu kuliko chochote kile duniani, huwezi kutumia pesa yako, elimu yako au kuwa na furaha maishani kama utakosa hayo niliyoyataja
 
Very tribal society, mtu amesoma lakini ukabila upo palepale, maana yake ni kwamba bado elimu haijawakomboa
Nyie wastaarabu na wasomi mbona hamuingozi Afriika ama kujikomboa toka LDC?

Hawa ni Jirani wa kutuombea mabaya yatupate ili waipiku Kenya without breaking a sweat na hapa ndipo tunasema "Shetani ashindwe''.
 


WSR is a political heavyweight...What does Gideon Moi hope to achieve?
 
Mkuu MK254,,yaani unavyomuelezea huyu Ruto kwa hapa Tz tunaweza kumlinganisha na Mzee Lowassa,,pia ninavyomuona ni kama mtu mwenye kibri,, msimamo mkali na asiyekubali kuyumbishwa/kushindwa.!
 

some scary s##t for real...This is Africa...not just in Kenya....I would hate to be a journalist in Africa..
Ben wetu ako wapi?




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…