Uhuru Kenyatta Akiomba Aombewe, Anastahili Tumwombee!

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa hukumu kwamba Uhuru Kenyatta wa Jubilee hakushinda kihalali na hivyo kukubaliana na madai ya Raila Odinga kwamba uchaguzi mkuu nchini humo haukuendeshwa ipasavyo.

Lengo langu hapa sio kuongelea mwenendo na maamuzi ya mahakama hiyo, ila ni kuongelea namna Uhuru Kenyatta alivyopokea maamuzi hayo; kuheshimu uhuru wa mahakama na utawala wa sheria; na wito wake kwa wakenya kwamba wadumishe amani, wao ni wakenya.

Huyu kiongozi ameonesha ni kwa jinsi gani anavyochukia utengano, ubaguzi, chuki, na uhasama miongoni mwa raia wa nchi yake. Hotuba yake imewakumbusha na kuwasisisitiza wakenya kwamba wao ni wa moja hata kama wanatofautiana kisiasa, kikabila na rangi. Wao wanabaki kuwa wakenya.

Kiongozi huyu hata kama hajaomba tumwombee, wapenda haki kote Afrika ya Mashariki na Afrika kwa jumla, tumwombee. Mungu wa mbinguni, aliyeumba mbingu na nchi azidi kumjalia hekima na busara, upendo na umoja.

Tufunge hata siku tatu pasipo kula wala kunywa tumlilie Mungu wa mbinguni ampe hekima. Huyu ni aina ya viongozi ambao wakiomba taifa liwaombee wanastahili kuombewa. Sio hawa wengine wa Angalo wanafiki wanaomba waombewe huku wakijenga chuki na kuchukiana; ubaguzi wa kidini na kikabila; kikanda na kisiasa ndani ya nchi zao. Wanaojijengea himaya ya kutoguswa. Huku wakibana ajira na kuongeza umasikini katika mataifa yao.

Uhuru Kenyatta aombewe na Mungu aipatie Afruika kina Uhuru Kenyatta wengine watawale Afrika Mashariki kote.

Mungu Ibariki Kenya, wakenya na viongozi wao.
Mungu ibariki Afrika
 
Haujawahi kuomba kwa umaskini ulionao wewe ukoo wako na nchi yako!! hajawahi kumwombea rais wako!

halafu unaenda kuhangaika na nchi za watu!!

we funga tu, lakini usisahau kupambana na hali zako
 
unachekesha kweli wewe! yaani msando ameuawa, maiti ikakatwa vidole, alaf siku mbili baada ya kifo chake akalog in kwenye sever za tume ya uchaguzi.. watu wakachezea mifumo ya tume na kutengeneza ushindi wa uhuru kenyata, alaf unasema tumuombeee?????

wewe kweli hamnazo.. nenda kayaseme maneno haya kwenye familia ya marehemu msando uone kama hawatakula nyama mzima mzima..
 
Hawa chadema sijui ule ugonjwa wameambukizwa wote? Kwani wakati Lowassa anaenda kumuombea kura kule kenya ulileta uzi wa kumwombea kura?
 
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa hukumu kwamba Uhuru Kenyatta wa Jubilee hakushinda kihalali na hivyo kukubaliana na madai ya Raila Odinga kwamba uchaguzi mkuu nchini humo haukuendeshwa ipasavyo.

Lengo langu hapa sio kuongelea mwenendo na maamuzi ya mahakama hiyo, ila ni kuongelea namna Uhuru Kenyatta alivyopokea maamuzi hayo; kuheshimu uhuru wa mahakama na utawala wa sheria; na wito wake kwa wakenya kwamba wadumishe amani, wao ni wakenya.

Huyu kiongozi ameonesha ni kwa jinsi gani anavyochukia utengano, ubaguzi, chuki, na uhasama miongoni mwa raia wa nchi yake. Hotuba yake imewakumbusha na kuwasisisitiza wakenya kwamba wao ni wa moja hata kama wanatofautiana kisiasa, kikabila na rangi. Wao wanabaki kuwa wakenya.

Kiongozi huyu hata kama hajaomba tumwombee, wapenda haki kote Afrika ya Mashariki na Afrika kwa jumla, tumwombee. Mungu wa mbinguni, aliyeumba mbingu na nchi azidi kumjalia hekima na busara, upendo na umoja.

Tufunge hata siku tatu pasipo kula wala kunywa tumlilie Mungu wa mbinguni ampe hekima. Huyu ni aina ya viongozi ambao wakiomba taifa liwaombee wanastahili kuombewa. Sio hawa wengine wa Angalo wanafiki wanaomba waombewe huku wakijenga chuki na kuchukiana; ubaguzi wa kidini na kikabila; kikanda na kisiasa ndani ya nchi zao. Wanaojijengea himaya ya kutoguswa. Huku wakibana ajira na kuongeza umasikini katika mataifa yao.

Uhuru Kenyatta aombewe na Mungu aipatie Afruika kina Uhuru Kenyatta wengine watawale Afrika Mashariki kote.

Mungu Ibariki Kenya, wakenya na viongozi wao.
Mungu ibariki Afrika
Huyu hastahili kuombewa mkuu kwa sababu tano muhimu zifuatazo:-
1.Ni mwizi wa kura.
2.Ni mpenda madaraka na haitakii nchi yake amani.
3.Kasababisha kifo cha ofisa wa tume ya uchaguzi Chris Msando,this is first degree murder,na kwa hili anastahili kushtakiwa.
4.Amesema hakubali maamuzi ya tume ya uchaguzi,ingawa anayaheshimu, wakati watu makini na wakweli wanajua kwamba maamuzi hayo ni sahihi.
5.Ameisababishia Kenya hasara kubwa kwa kuandaa uchaguzi mwingine,wakati fedha zitakazotumika kwenye uchaguzi huo, zingetumika kwenye shuhuli za maendeleo ya Kenya.
 
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa hukumu kwamba Uhuru Kenyatta wa Jubilee hakushinda kihalali na hivyo kukubaliana na madai ya Raila Odinga kwamba uchaguzi mkuu nchini humo haukuendeshwa ipasavyo.

Lengo langu hapa sio kuongelea mwenendo na maamuzi ya mahakama hiyo, ila ni kuongelea namna Uhuru Kenyatta alivyopokea maamuzi hayo; kuheshimu uhuru wa mahakama na utawala wa sheria; na wito wake kwa wakenya kwamba wadumishe amani, wao ni wakenya.

Huyu kiongozi ameonesha ni kwa jinsi gani anavyochukia utengano, ubaguzi, chuki, na uhasama miongoni mwa raia wa nchi yake. Hotuba yake imewakumbusha na kuwasisisitiza wakenya kwamba wao ni wa moja hata kama wanatofautiana kisiasa, kikabila na rangi. Wao wanabaki kuwa wakenya.

Kiongozi huyu hata kama hajaomba tumwombee, wapenda haki kote Afrika ya Mashariki na Afrika kwa jumla, tumwombee. Mungu wa mbinguni, aliyeumba mbingu na nchi azidi kumjalia hekima na busara, upendo na umoja.

Tufunge hata siku tatu pasipo kula wala kunywa tumlilie Mungu wa mbinguni ampe hekima. Huyu ni aina ya viongozi ambao wakiomba taifa liwaombee wanastahili kuombewa. Sio hawa wengine wa Angalo wanafiki wanaomba waombewe huku wakijenga chuki na kuchukiana; ubaguzi wa kidini na kikabila; kikanda na kisiasa ndani ya nchi zao. Wanaojijengea himaya ya kutoguswa. Huku wakibana ajira na kuongeza umasikini katika mataifa yao.

Uhuru Kenyatta aombewe na Mungu aipatie Afruika kina Uhuru Kenyatta wengine watawale Afrika Mashariki kote.

Mungu Ibariki Kenya, wakenya na viongozi wao.
Mungu ibariki Afrika
Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujawahi kuomba kwa umaskini ulionao wewe ukoo wako na nchi yako!! hajawahi kumwombea rais wako!

halafu unaenda kuhangaika na nchi za watu!!

we funga tu, lakini usisahau kupambana na hali zako

hahahaha nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Watanzania kwa kujivisha uhusika na itikadi bado ni janga kuu, wakenya wako kimya huku nyie mnatoa propaganda na misifa ya kijinga, eti nitamuobea......wewe una credibility gani ya kumuombea uhuru? hebu kaeni mtafute suluhu ya shida zenu za kiuchumi ndani ya nchi yenye amani Tanzania, msiingilie nchi za watu hamuyajui yaliyomo.

Ngw'ana Kabula
 
Attachments

  • uk.PNG
    uk.PNG
    58.4 KB · Views: 27
Back
Top Bottom