Uhuru Kenyatta akiri Kenya haina uwezo wa Kujilisha, kwamba hali itazidi kuwa mbaya siku zijazo.

Yeye binafsi na familia yake wanamiliki asilimia ngapi ya ardhi ya kenya? wabadelishe sheria yao ya ardhi mambo ya free hold kwa kitu ambacho hakiongezeki na ni common heitage waache kabisa. Walitarajia kusisitiza EAC watapata nafasi ya ardhi yetu tulioilinda kwa sheria kuwa ni mali ya umma na mtu anapangishwa kwa miaka 33, na 99 na sisi tuka ngashtuka babangu imekula kwao.
 
Mara mingi ,maana hio ndio sare yake ya kazi hawezi akavaa ya wanahewa ama ya army.

Sent using Jamii Forums mobile app
WE JAMAA UNAKWAMA SANA MABEYO LINI KAVAA SARE ZA NAVY

MWAMUNYANGE ALITOKA JKT ILA TOKA AWE CDF HAJAWAHI KUVAA SARE ZA JKT KAMWE

WANAVAA SARE ZA INFANTRY AU KOMBATI BHAAAASI.
GOOGLE PICHA UIKUTA MABEYO KAVAA YA NAVY KWA CHEO CHA CDF NTAKUOMBA MSAHAMA
 
Tz mlinzi wa Rais atavaa sare mbili tu Regardless ya kamandi(airforce, infantry, Navy or JKT) aliyotoka
1. INFANTRY UNIFORM
2. COMBAT UNIFORM
 
Katika nchi nyingi Navy zinaongoza kwa kuwa na wanajeshi wenye weledi wa hali ya juu.
NAJUA UNAPOTAKA KUELEKEA MIMI NAZUNGUMZIA MAVAZI YA WALINZI WA WANAOSIMAMA KAMA MLINZI NYUMA YA RAIS, WOTE TUNAJUA YULE NI FIGURE TU WALINZI WAPO WENGI NA HAWAVAI UNIFORM.
 
Kenya sababu inayoleta njaa ni kugeuza Ardhi kulima maua sana ambyo yanaingiza fedha nyingi wakiuza ulaya. Pia wana viwanda vyenye kuzalisha bidhaa za kuexport na wanapata pia pesa nyingi. Shida inakuja walioko kule juu kaskazjni ambao hawana ajira hawawezi kununua hiyo imported mahindi, hao watakuwa na njaa tu miaka yote. Kuna siku serikali italazimika kuwapa chakula bure. Hiyo ni athari ya Sera ya ubepari. Mgawanyo wa keki ya taifa hauwi wa haki sana. Sasa kama uchumi wa Nairobi peke yake unazidi uchumi wa Tanzania yote , unategemea nini. Lakini kwamba watakufa na njaa hapana tusidanganyane. Hata Marekani kuna watu hawawezi kupanga hata chumba cha kulala lakini haina maana kuwa tuna uchumi imara kuliko wale. Dlaspora remittance ya wakeya inazidi thamani ya mahindi yatakayoagizwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndio president bana anakua mkweli kwa wanainchi wake. Ingekua TZ yange tokea kama ya korosho tu kubuma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kaka achana na propaganda za wakenya, uchumi wa Tanzania na Kenya haupishani pakubwa, 2013 Kenya ilipofanya rebase ya uchumi wao, na Tanzania kufanya rebase 2014, tofauti ilikua $9B. Kuanzia hapo uchumi wa Tanzania umeongezeka kwa wastani wa 7% na Kenya 5.5%. Ni mtu mwendawazimu pekee atakayeeleea kwamba, four years later hiyo tofauti iwe imepanuka kufikia $20B, hao jamaa hata IMF wanawaambia kwamba hawazungumzi ukweli kuhusu uchumi wao.

Ukiachana na hizo "Numerical economy", hata on the ground hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba uchumi wao unafanya vizuri, mwenye uchumi unaofanya vizuri, hawezi kukopa ili alipe deni, hawezi kuongeza kukopa wakati madeni ya nyuma yanamzidi uwezo, Kenya karibu bajeti yote ya maendeleo ni mikopo mitupu wakati mikopo ya nyuma wanashindwa kulipa badala yake wanakopa ili kulipa madeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…