Kenya sababu inayoleta njaa ni kugeuza Ardhi kulima maua sana ambyo yanaingiza fedha nyingi wakiuza ulaya. Pia wana viwanda vyenye kuzalisha bidhaa za kuexport na wanapata pia pesa nyingi. Shida inakuja walioko kule juu kaskazjni ambao hawana ajira hawawezi kununua hiyo imported mahindi, hao watakuwa na njaa tu miaka yote. Kuna siku serikali italazimika kuwapa chakula bure. Hiyo ni athari ya Sera ya ubepari. Mgawanyo wa keki ya taifa hauwi wa haki sana. Sasa kama uchumi wa Nairobi peke yake unazidi uchumi wa Tanzania yote , unategemea nini. Lakini kwamba watakufa na njaa hapana tusidanganyane. Hata Marekani kuna watu hawawezi kupanga hata chumba cha kulala lakini haina maana kuwa tuna uchumi imara kuliko wale. Dlaspora remittance ya wakeya inazidi thamani ya mahindi yatakayoagizwa .
Sent using
Jamii Forums mobile app