Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha habari za Misibani,Wakenya ni wachapakazi Wivu hauna tija chapa kazi Dezo dezo mbaya.
Acha kujidhalilisha tembea uone
Mbona tanzania kuna nyumba za tembe hata hujuia maana ya Slums
Ila ukiwaona TRA wanakuja unafunga milango hapo livingstone
Dar es Salaam Tanzania has one of the third largest slum growth rates in the whole of Africa. Slums that develop in Tanzania's cities to travel to are over 6% in a year's time. The population of the people in those slums is also rated as the sixth in the whole Africa region.Nisizijue kwann nazijua slums zikoje nyumba duni zimejaa kenya kuliko huku
Eti hamna kitu, Kenya ikipigana vita na TZ mtaambulia patupu, wacheni kujichocha, tutasimamia Lake Malawi.
Kitu gani kimekuleta kwenye nyuzi za watu.
View attachment 1106364
Wabongo bhana halafu tunayasema makalio ya wenzetu Hahaaa!
Sasa mbona unapepeta uongo mwezi huu mtukufu.
Sasa mbona unapepeta uongo mwezi huu mtukufu.