Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

We hujiuliz kwann hata masikin wa asia km india pakistan wanaing,ang,ania tz mbona hawaendi kukimbilia kenya.bcuz kenya kuna life la is the force which oppose the motion ambalo ni frict life
Acha kujidhalilisha tembea uone
 
Wangekua wachapa kaz wasingebak ktk slums mm nimekaa but hela yaingia kuliko mlipa kodi kubwa wa kenya
Wacha habari za Misibani,Wakenya ni wachapakazi Wivu hauna tija chapa kazi Dezo dezo mbaya.
 
Wangekua wachapa kaz wasingebak ktk slums mm nimekaa but hela yaingia kuliko mlipa kodi kubwa wa kenya
Mbona tanzania kuna nyumba za tembe hata hujuia maana ya Slums
 
Hat hapo unakataa usibishane blee ble blee ndugu hakuna nchi inayojaliwa na wagen wa nje km Tz mpk wakenya wenyewe wanatusema kariakoo is full of indians than tzs
Acha kujidhalilisha tembea uone
 
Hat hapo unakataa usibishane blee ble blee ndugu hakuna nchi inayojaliwa na wagen wa nje km Tz mpk wakenya wenyewe wanatusema kariakoo is full of indians than tzs
Kariakoo imejaa mchanganyiko wa mataifa Wahindi ni wamojawapo
 
Nisizijue kwann nazijua slums zikoje nyumba duni zimejaa kenya kuliko huku
Dar es Salaam Tanzania has one of the third largest slum growth rates in the whole of Africa. Slums that develop in Tanzania's cities to travel to are over 6% in a year's time. The population of the people in those slums is also rated as the sixth in the whole Africa region.
 
We mkenya bishana na walking dead wenzako Somalia ukija tz utapigwa mpk kupandwa muulize m 23 wa kongo alichofanya hakupigwa alikeketwa sasa hv ndio wameibuka hao AFD sijui
 
Bila ya Kenya Majeshi ya Maharamia yangeshatia timu Lungalunga.
 
We mkenya bishana na walking dead wenzako Somalia ukija tz utapigwa mpk kupandwa muulize m 23 wa kongo alichofanya hakupigwa alikeketwa sasa hv ndio wameibuka hao AFD sijui
Kitu gani kimekuleta kwenye nyuzi za watu.
 
We bisha utaeleza kwann earth ina rotate na ku revolve na sisi bado tuko pale pale kenya mkiwachokonoa tz mtakeketwa km walivyokeketwa m23 au iddi amini
Eti hamna kitu, Kenya ikipigana vita na TZ mtaambulia patupu, wacheni kujichocha, tutasimamia Lake Malawi.
 
Pengine umekaa huko kwa wajaruo wenzako huku hujarudi muda mrefu embu njoo upaone kwanza changes za haraka zinavyotokea halaf waulize wafanya biashara wapi kuna kodi kandamiz kenya au Tz.ukishapata jibu kaa nalo naona unanipotezea wakti kwa kukaza fuvu bye
Sasa mbona unapepeta uongo mwezi huu mtukufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…