Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Raila Odinga Hosts Somaliland Delegation Days After Somalia Minister, MPs Blocked Entry

By Somtribune Africa -

May 24, 2019

Odinga-696x522.jpg
 
Joto la jiwe .You also claimed that alshabaab downed a Kenya airforce jet. Pliz Read the following report
[/URL]
Propaganda za kijinga hizi, hii ni kawaida yenu kutokubali kushindwa pale mnapozidiwa, hadi Leo bado hamjatoa idadi ya wanajeshi wenu waliouliwa El- adde.

Ndege yenu ilidunguliwa na kuanguka katika eneo linalodhibitiwa na Alshabab na pilot aliuliwa hamjaweza kupata hata miwili wake, na hiyo ndege hata mabaki yake mlishindwa kuyapata kwasababu hamuwezi kuingia eneo la Alshabab, hiyo taarifa ya " Engine failure" mlijuaje?.

Alshabab ndio walikua wa kwanza kutoa taarifa kwamba wameiangisha ndege yenu, baada ya miaka kadhaa ya kuwa kimya ndio mnakuja na habari za kujiliwaza, ndege ilidunguliwa na Alshabab acheni kujipa matumaini.
 
downloadfile-2.jpg

Mashujaa wa KDF ambao ni kiboko cha Alshababu bila hawa jamaa Majeshi ya Wasomali yangepiga hodi Namanga.
 
Propaganda za kijinga hizi, hii ni kawaida yenu kutokubali kushindwa pale mnapozidiwa, hadi Leo bado hamjatoa idadi ya wanajeshi wenu waliouliwa El- adde.

Ndege yenu ilidunguliwa na kuanguka katika eneo linalodhibitiwa na Alshabab na pilot aliuliwa hamjaweza kupata hata miwili wake, na hiyo ndege hata mabaki yake mlishindwa kuyapata kwasababu hamuwezi kuingia eneo la Alshabab, hiyo taarifa ya " Engine failure" mlijuaje?.

Alshabab ndio walikua wa kwanza kutoa taarifa kwamba wameiangisha ndege yenu, baada ya miaka kadhaa ya kuwa kimya ndio mnakuja na habari za kujiliwaza, ndege ilidunguliwa na Alshabab acheni kujipa matumaini.
Ati tulijuaje it seems you don't even know how airplanes work...haha
 
They do not have missiles such as surface to air missiles (SAM) capable of hitting a jets labda anti aircraft guns za helicopter
Al-Shabaab thrives on propaganda
It is the same kind of militants who claimed to have downed an American drone, yet the aerial vehicle crashed due to technical problems
 
Ukiyashangaa ya Wasomali kutaka kuimeza Kenya ndugu zetu Waethiopia nao wanasema wataimeza Somalia hahaha wametoa ramani mpya ya Afrika kupitia Wizara ya mambo ya Ethiopia
1024x538_769829.jpg

Wasomali sasa watambue wakitaka kuimeza Kenya na wao watamezwa
 
Ati tulijuaje it seems you don't even know how airplanes work...haha
You know better that's why you couldn't recover the body of your pilot and the remainings of your old F-5 after being shot down by Alshabab.
 
They do not have missiles such as surface to air missiles (SAM) capable of hitting a jets labda anti aircraft guns za helicopter
Al-Shabaab thrives on propaganda
It is the same kind of militants who claimed to have downed an American drone, yet the aerial vehicle crashed due to technical problems
Wewe ulishapitia jeshi au umejificha hapo Kibera?. Ndege inaweza kuangushwa na anti aircraft machine gun, au hata RPG kama inapita chini sana, kumbuka ndege zenu F-5 ni ndege za kizamani sana, hazina uwezo kuruka juu sana na kulenga target zikiwa mbali, zinalazimika kuruka chini chini ndio sababu Alshabab waliweza kuidungua.

Hiyo ndege yenu ilidunguliwa kweli ndio sababu ilianguka katika eneo la Alshabab, kawaida ndege ikipata matatizo ya Engine, bado inaweza kwenda zaidi ya 100Km bila Engine, isingeweza kuanguka ndani ya Eneo la Alshabab.

Kuhusu kutokubali kwamba ndege yenu ilitunguliwa na Alshabab, hiyo ni kawaida katika vita ili kutopoteza morale ya marubani wengine, wakijua kuwa adui anao uwezo wa kuzitungua ndege watapoteza morale. Kumbukeni shambulio la El- adde, Alshabab ndio walikua wa kwanza kutoa taarifa, Serikali ya Kenya ilikanusha, hadi baada ya Alshabab kusambaza picha za maiti wa Askari wa Kenya, ndio serikali yenu ikakubali.
 
Haha ...again I will prove you wrong.If you drop unguided bombs at low altitudes some do not explode thus do not cause the desired damage.
Dropping unguided bombs requires a lot of physics and skills from pilots.and is best done at high altitudes.

Haha.. ati RPGs can hit a moving jet.That is next to imposible .
If you must hit a fast-moving, maneuvering jet at any altitude at all, you must be using guided missiles.
If you have ever used a gun you should already know how hard it is to shoot a moving Target. Even a target thats is not moving requires skill.
Futher more jets have warning systems that detect incoming projectiles and missiles hence warning the pilot.
 
Do you even know why there a lot of unexploded bombs in Areas of Laikipia and Mount Kenya?....
 
Haha ...again I will prove you wrong.If you drop unguided bombs at low altitudes some do not explode thus do not cause the desired damage.
Dropping unguided bombs requires a lot of physics and skills from pilots.and is best done at high altitudes.

Haha.. ati RPGs can hit a moving jet.That is next to imposible .
If you must hit a fast-moving, maneuvering jet at any altitude at all, you must be using guided missiles.
If you have ever used a gun you should already know how hard it is to shoot a moving Target. Even a target thats is not moving requires skill.
Futher more jets have warning systems that detect incoming projectiles and missiles hence warning the pilot.
Hahahahaha, acha kelele zako za uongo, kinashofanya missile kulipuka ni ile "nobe" iliyoko katika tip ya missile, ikigongwa kidogo sana, hata kwa mkono tu inalipua, wala huitaji kuwa katika higher altitude, hujui lolote wewe.

Kuhusu RPG, ndizo wanazotumia ISS kudungua ndege za jeshi la Syria, yes ni ngumu na hazina shabaha ndio sababu Alshabab waliangusha ndege moja hadi sasa, hata wahasi wa huko Yemen pia wanatumia "anti aircraft machine guns na RPG kuzipiga ndege za Saudi Arabia, kwasababu sio lesser guided, zinakosa shabaha, matokeo yake, zinatumika zaidi kuzitishia na kuzifukuza ili zisishambulie maeneo yao.

Umuhimu wa lesser guide ni kuongeza shabaha, lakini hata bila lesser guided missiles bado ndege inatunguliwa, kumbuka katika " WW I&ll hapakua na hii technology ya lesser guided missiles na bado ndege zilitunguliwa.
 
RPG hutumika kupiga ndege kwenye maeneo yenye Milima na sio tambare
 
Hahaa...inakaa unapenda lesser guided missiles sana.In most air defense weapons ,Heat seeking missile are used because they chase aircraft's by following the heat emitted from the engine.
Lasser guided missiles are still in development though they are still used.

What type of aircraft have been hit by machine gun fire or RPGs to be specific.?...

What type of aircraft in specific?
 
Ati ukipiga kwa mkono italipuka hahaa.....kwani ni granade?ata granade haitalipuka.
LMFAO.Do you even know the difference between bombs and missiles.
 
Hahaa...inakaa unapenda lesser guided missiles sana.In most air defense weapons ,Heat seeking missile are used because they chase aircraft's by following the heat emitted from the engine.
Lasser guided missiles are still in development though they are still used.

What type of aircraft have been hit by machine gun fire or RPGs to be specific.?...

What type of aircraft in specific?

Hizi ni baadhi tu ya anti aircraft machine guns, hizi ni much advanced, ila Tanzania tunazo nyingi sana anti aircraft mashine guns.

Faida ya kutumia kutumia Anti aircraft machine guns ni kwamba radar ya ndege za kivita haziwezi kuziona na kuzishambulia, kumbuka lesser guided anti aircraft surface to air missiles lazima zinatumia radar, ndege za kivita nazo zinatumia radar ili kuziona na kuzipiga.

Kama ninavyokuambia, wewe hujapita jeshi Kwahiyo hizi silaha huzijua.
 
hahaa... nipe specifications , range na speed of projectile.na battle instaces alafu countries operating them.
 
boss ata ile issue ya J7.Ulikuwa unapiga kelele nyingi
 
hahaa... nipe specifications , range na speed of projectile.na battle instaces alafu countries operating them.
Wewe hujui lolote kuhusu jeshi unanipotezea muda bure, hata Kenya lazima mnazo "anti aircraft machines guns". These are the first air defence system kabla hujatafuta surface to air missiles (SAS). Take time, use Google will educate more on anti aircraft guns.
 
Hizi ni baadhi tu ya anti aircraft machine guns, hizi ni much advanced, ila Tanzania tunazo nyingi sana anti aircraft mashine guns.

Faida ya kutumia kutumia Anti aircraft machine guns ni kwamba radar ya ndege za kivita haziwezi kuziona na kuzishambulia, kumbuka lesser guided anti aircraft surface to air missiles lazima zinatumia radar, ndege za kivita nazo zinatumia radar ili kuziona na kuzipiga.

Kama ninavyokuambia, wewe hujapita jeshi Kwahiyo hizi silaha huzijua.

Wewe hujui lolote kuhusu jeshi unanipotezea muda bure, hata Kenya lazima mnazo "anti aircraft machines guns". These are the first air defence system kabla hujatafuta surface to air missiles (SAS). Take time, use Google will educate more on anti aircraft guns.
hahaa...anti aircraft guns e.g zpu na zinginezo zinatumika mostly against helicopters.
 
Wewe hujui lolote kuhusu jeshi unanipotezea muda bure, hata Kenya lazima mnazo "anti aircraft machines guns". These are the first air defence system kabla hujatafuta surface to air missiles (SAS). Take time, use Google will educate more on anti aircraft guns.
boss anti aircraft guns e.g zpu na zinginezo zinatumika mostly against helicopters
 
Back
Top Bottom