Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Put down the technical details wacha kucheka Kama mjinga
You can get technical details of both any time you wish, make Google your friend, has got everything you wish at any time.

One thing is clear and fact that you can't change is that, every new model has got better and modern communication, radar capacity, firing power and better avionics.

It is only a fool like you who can compare aircraft made in 70s and the one made in 2010s, that is insane. Stop being stupid.
 
The reason why I asked that was to know which type of anti aircraft gun has a range of more than 15.8km and a projectile speed of more than 1700km/hr inorder for it to hit a moving jet.

I also asked the countries using that type of anti aircraft gun nijue Kama somalia wanayo

Lakini inakaa uwezo wako wa kuelewa kingereza ni mdogo sana
Muulize ISIS huko syria anawezaje kupiga aircraft za serikali ya syria kwa kutumia anti aircraft guns pamoja na RPG
 
Hiv mmejiandaa vema maana wale somalians wanazuka km mzuka
Haha hivi wanazuka kwenye akili yako au nini? Mbona waKenya tupo tu Sawa hatuweweseki? Vitisho baridi sisi hapan tambua
 
You can get technical details of both any time you wish, make Google your friend, has got everything you wish at any time.

One thing is clear and fact that you can't change is that, every new model has got better and modern communication, radar capacity, firing power and better avionics.

It is only a fool like you who can compare aircraft made in 70s and the one made in 2010s, that is insane. Stop being stupid.
Boss here we go again...
American jets are light years ahead of their Russian counter parts .
Make Google your friend ..Hahaa
 
The reason why I asked that was to know which type of anti aircraft gun has a range of more than 15.8km and a projectile speed of more than 1700km/hr inorder for it to hit a moving jet.

I also asked the countries using that type of anti aircraft gun nijue Kama somalia wanayo

Lakini inakaa uwezo wake wa kuelewa kingereza ni mdogo sana
Hahahahaha, wewe ni muongo unaanza kujitetea, post yako #465 umesema Alshabab hawawezi kuiangusha jets kwasababu hawana surface to air missiles, ukasema labda watumie "anti aircraft" ya helicopters, wewe ulidhani, guns zinatumika kudungua helicopters pekee sio fighter jets, hahahahaha.

Ngoja nikupe somo kidogo, ukisikia maximum altitude ya fighter jet ni 15000 M, hiyo sio firing altitude. Firing altitude unategemea vitu vingi sana,
1) Uwezo wa radar
2)Uwezo wa rubani
3)Speed wakati wa kuachia kombora
4) Modernity ya ndege (Generation)
5)Hali ya hewa

The closer the target, the better, hivyo pilots wengi wanalazimika kushusha ili asikose target, hapo ndio anajikuta ameingia ndani ya range ya "anti aircraft guns"
 
Huwa ninakuambia hujui kitu wewe, sasa ulikua unabisha nini kwamba hakuna "anti aircraft guns". Hovyo kabisa wewe
Boss wewe ndo hujui kitu . Just have a look of my posts in this forum I once even quoted you last year and told you that alshabaab operates zpu.Sasa iweje sijui anti aircraft guns?...hahaa
 
Boss here we go again...
American jets are light years ahead of their Russian counter parts .
Make Google your friend ..Hahaa
When fighter jets is certified as third generation, it is world wide standard, it must have all features of third generation, no matter which country is made from, is like SGR.
 
Boss wewe ndo hujui kitu . Just have a look of my posts in this forum I once even quoted you last year and told you that alshabaab operates zpu.Sasa iweje sijui anti aircraft guns?...hahaa
Point ni kwamba, wewe ulikua hujui kama fighter jet inaweza kudunguliwa kwa "Anti aircraft gun au RPG", wewe ulidhani " a fast moving jet can only brought down by missiles. Hahahahaha, hahahahaha.
 
Hahahahaha, wewe ni muongo unaanza kujitetea, post yako #465 umesema Alshabab hawawezi kuiangusha jets kwasababu hawana surface to air missiles, ukasema labda watumie "anti aircraft" ya helicopters, wewe ulidhani, guns zinatumika kudungua helicopters pekee sio fighter jets, hahahahaha.

Ngoja nikupe somo kidogo, ukisikia maximum altitude ya fighter jet ni 15000 M, hiyo sio firing altitude. Firing altitude unategemea vitu vingi sana,
1) Uwezo wa radar
2)Uwezo wa rubani
3)Speed wakati wa kuachia kombora
4) Modernity ya ndege (Generation)
5)Hali ya hewa

The closer the target, the better, hivyo pilots wengi wanalazimika kushusha ili asikose target, hapo ndio anajikuta ameingia ndani ya range ya "anti aircraft guns"
Boss I know all that shit you are talking about.soma kuhusu gravity bombs
 
Point ni kwamba, wewe ulikua hujui kama fighter jet inaweza kudunguliwa kwa "Anti aircraft gun au RPG", wewe ulidhani " a fast moving jet can only brought down by missiles. Hahahahaha, hahahahaha.
I asked you to give me an instance and also the type of gun used ukaanza kuropokwa
 
Hahahahaha, siku zingine kabla hujabisha, take some few minutes to do your homework.
Uliuliza velocity na range ya AK nikakupa .
Ukauliza kuhusu projectile ukajibiwa
Na Bado unaendelea kubisha na ati wewe ni mwanajeshi....
Hahaa
 
Back
Top Bottom