katika kile kinachooneka kuanza kukimbia kivuli chake na kutokuwa na uhakika wa ushindi wake baada ya muungano wa coard kuwasilisha ushahidi mzito kuhusu uchakachuaji wa uchaguzi wa kenya ambao ulipelekea tume ya uchaguzi kumtangaza uhuru kuwa rais.umeingia katika sura nyingine baada ya muungano wa jubilee kuungana na muungano wa amani ukiongozwa na mudavadi pamoja na wagombea wengine kutoka katika vyama vingine hii ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi wa duru ya pili.
Mytake.
Kama uhuru na muungano wa jubilee wanajiamini kuwa ushindi wa 50 + 1 ulikuwa halali kwanini wanaanya bumps?
1. Kama mahakama itabatilisha matokeo je uhuru bado atakuwa na sifa za kuwa mgombea?na vipi tume iliyoshiriki katika uchakachuaji bado itakuwa na sifa ya kuitwa tume?
2. Vipi wale waliotuma salaam chap chap watawithdraw salam zao?
Hili liwe somo pia kwetu katika uchaguzi ujao.
Jpili njema wanajf
Mambo yako supreme court na ni korti hili ambalo litaamua kama
kiko chochote kizito katika malalamishi ya Cord.
Kwangu ni kichekesho tuu na kulingana na haya malalamishi,,
it is 2 to 8 for the supreme court to overturn the IEBC
elections results,,,hata prof Makau,,Raila's staunchest
supporter ana,,,wasi wasi,,kwahivyo ni ndoto tuu,,,ati
uchanguzi,,,ni kuamuka asubuhi na kuona kumbe ilikua
ndoto,,,tuuuuu.
Na kama si ndoto,,,,,basi,,kwa mara nyingine,,,wembe
ni ule ule,,na mara hii(huu wembe) utakata hata sehemu
'Nyeti' kama Ukambani na western walio kua wamendangany'ika
kwamba Raila Odinga aliku 'Unbwogable'.
Nani atakae panga laini akijua ati kwamba walishindwa
na kunawezekano mkubwa wa Cord kushindwa tena.
Mara hii,,,Cord hawana bahati,,wamepitwa na wakati.
Mimi nilipanga laini kuanzia saa kumi usiku mpaka saa
nane mchana,,bila maji na chakula na kwa ukweli,,,
wengi wetu hatukujua kwamba twaweza kushinda.
Tulijaza debe na kura kumwagika,,,,,800,000 of them,,
the votes.
Mara hii,,,,,rete rete hiyo usaguzi,,,,haraka haraka
na tuhakikishie yeyote ambaye hawezi kuamini
bila kunguza,,,kama ule ndugu wetu,,
Tomaso.
Tunawapeleka home,,,,mbaya mbaya,,,,yaani
faster faster.
Let's wait til 30th,,,this months na ukweli udhihirike.
Kwa mara ya kwanza,,,niliona Aljazeera jana iki
refer Raila Odinga kama
'the defeated presidential
candidate refusing to accept defeat'.
Mbeleni walikua wa kim-refer kama 'anayetarajiwa
kushinda'.
Kumbe dunia ni duara na haina mwenyewe.
Ni funzo kwamba,,kama mwanadamu,,,usikawahi
kujipiga kifua na kusema ati we ni Alfa na Omega.
Raila aliwahi kusema kwamba kushindwa
haikua katika kamusi yake.
"Mimi Raila Odinga,,,,ni lini nishawahi kushindwa"
Ni vipi wengi watamuamini kama alishinda 2007
na Kibaki akamuibia kura,,,,atakapo poteza
kesi kortini,,,,haki Raila atadidimia kisiasa
kwamba hakuna yeyote atakae taka kumkaribia.
Lakini,,,,,,,hebu tungoje kidogo tuuuuu.
Jana,,,,Rais Uhuru,,ali fly Mombasa na
two presidential Jets Kukagua maendeleo
huko,,,,ama kwa,,,,ka holiday na
moja baridi baada ya kazi mzuri.
Najua kwamba,,hii inaumiza matumbo,,,lakini
usishangae,,,,,ndugu,,,chochote chawezekana
katika hii,,,dunia.