Uhuru Kenyatta asema Vijana wa Africa ndio wenye Jukumu la Kulinda Rasilimali za Nchi zao zinazoporwa, aahidi kuwaunga mkono Gen Z Kwenye Ulinzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Vijana wa Africa wametakiwa kusimamia imara kulinda Rasilimali za Nchi zao zinazoporwa kila siku

Uhuru amesema vijana ndio watakuja kuathirika baada ya kila Kitu kuuzwa

Ameahidi kuwaunga mkono Gen Z wa Kenya katika Mapambano ya kulinda Rasilimali za Nchi yao

Source Citizen TV

Kwako Chawa mkuu Lucas Mwashambwa 😂
 
Aache porojo zake hapa. Aanze kwanza kugawa ardhi yake kwa vijana ili wapate pa kulima.
 
 

Attachments

  • IMG-20250117-WA0025.jpg
    60.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…