Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Mkuu kweli ijumaa imefika hapo ulipo?
Hivi Uhuru anahatarisha vipi maslahi ya wakubwa?
Tuwe na subira Mkuu. Counting hours.
Uhuru 4,104,247 (49.68),
Raila 3,680,440 (44.55),
Votes cast 8,261,274,
Rejected 78,232,
Valid 8,184,010
185/291 constituencies
Wamagharibi.Unamaanisha nini unaposema "wakubwa"?
UHURU ANASHINDA KWA MBINU HIZI:Wamefikisha 186 constituencies.
As of now hata ukimpa Odinga kura zote za Mudavadi anakuwa hajamfikia Uhuru tu.
Kenya Elections 2013 - Daily Nation
Kiranga Kwani nini unamwita Rais Uhuru Kenyatta wakati hata kura bado zina matatizo. Huko ni sawa na kuanza kucheza mpira kabla ya mwamuzi hajapuliza kipenga.Wamarekani ngoma yao ngumu hapa.
Rais Uhuru Kenyatta hawamtaki, hapohapo Kenya wanataka kuendeleza urafiki nayo.
Wamarekani ngoma yao ngumu hapa.
Rais Uhuru Kenyatta hawamtaki, hapohapo Kenya wanataka kuendeleza urafiki nayo.
Kuna uwezekano uchaguzi ukaishia raundi ya kwanza. Inaelekea Uhuru atapata above 50%Wamefikisha 186 constituencies.
As of now hata ukimpa Odinga kura zote za Mudavadi anakuwa hajamfikia Uhuru tu.
For updates see here
Kenya Elections 2013 - Daily Nation
Kiranga Kwani nini unamwita Rais Uhuru Kenyatta wakati hata kura bado zina matatizo. Huko ni sawa na kuanza kucheza mpira kabla ya mwamuzi hajapuliza kipenga.