Uhuru Kenyatta atashinda kwa 50.42% na Raila 45.15%...na ameshinda kwa 50.03%

Uhuru Kenyatta atashinda kwa 50.42% na Raila 45.15%...na ameshinda kwa 50.03%

Status
Not open for further replies.
Fidel80,

Tumepiga mahesabu polepole kulingana n registered na turnout ya watu. Kumbuka pia kuna margin of error hapo
ya karibu 5%.

Hii ngoma ndo imekula kwa Raila na kama ana lake jambo basi awahi mahakamani na ushahidi wa kutosha
ambao utasukuma hizi kura kupinduliwa.

Habari ndo hio mazee.

Mkuu hamuendi round ya pili?
 
Last edited by a moderator:
Waharakishe tu kumaliza hesabu na kutangaza matokeo.
Sidhani kamamitasaidia kwa sababunupande wa Raila umedokeza kama kuna kasoro kubwa katika process.

Kumbuka pia Raila ameishaonja Madaraka na kama ni kusukumwa nje ya siasa na watu wa west, he'll go out with a bang
 
Mkuu kwa nini litakuwa ni pigo kubwa?. Kwani CHADEMA wamewekesha nini kwa Raila Odinga na kambi yake?

Mkuu wangu Chadema walitangaza mapema kuwa wao wanamunga mkono Raila Odinga.

Wametoa mpaka magari yao ya M4C na kuyapeleka Kenya kusaidia ushindi wa Odinga.

Ni pigo kubwa kwao walitegemea Odinga ashinde uchaguzi ili mwaka 2015 kwenye uchaguzi wetu Odinga aje kuisaidia Chadema.
 
@Ab-Titchaz nimegundua kura yako imeenda kwa nani
sisi tunaendelea kuwaombea amani itawale ..msilete mambo ya visasi kama magogoni
 
Kwa Uhuru kupata hiyo 50.42% itabidi kura zote zilizobaki ziwe za kwake kitu ambacho hakikutokea tangia awali. Bado kuna sintofahamu japo sio sana!
 
Mkuu hamuendi round ya pili?

Itabidi muujiza aisee...the stakes are too high for Uhuru Kenyatta to lose.

Mimi naona kutakua na ishu mahakamani maana hawa CORD hawajambo kwa mawakili na wansheria.
Tusubiri huko sasa.
 
Itabidi muujiza aisee...the stakes are too high for Uhuru Kenyatta to lose.

Mimi naona kutakua na ishu mahakamani maana hawa CORD hawajambo kwa mawakili na wansheria.
Tusubiri huko sasa.
Ab-Titchaz,
Ngoma ikipinduliwa kwa-Court,zinajumulishwa upya au tunarudi katikati ya kiwanja? Hapa nina majonzi kwakweli,japo mie si Mkenya aisee. Nimesoma hapo Nairobi,ninaelewa Ngebe za Wakikuyu.
 
Last edited by a moderator:
Tuombee hawa jamaa yale ya 2008 yasijirudie....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom