Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
kwa upepo huu Kenyatta ni Rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Kikwete ni Rais pia, kutembelewa na viongozi wa serikali ya nchi nyingine ikulu hakumaanishi lolote katika chama. Hata hivyo, mara nyingi vyama vya siasa vina mahusiano ya kisiasa na vyama vya nchi zingine lakini pia yana mipaka kiutendaji. Kwenda kusaidia chama cha nchi nyingine katika kampeni kwa kutoa magari na manpower ni zaidi ya mahusiano ya kawaida.Halafu zile artcle za Uhuru kumtembelea Kikwete, Bagamoyo kuitwa Mwai Kibaki
Katibu wa chama (CCM) yuko kule siyo kwa kutumwa na chama chake bali kama kiongozi wa EAC Election Observer.Katibu wa chama pamoja na Ritz kupiga kambi Nairobi wakati huu wa uchaguzi wewe hujaziona??
Of course, Lazima pia asepe kwa sababu rafiki yake atakuwa amedondoshwa kisiasa.Na Magufuli naye atasepa, kwani alialikwa na kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa kampeni za Raila
Mkuu, Kikwete ni Rais pia, kutembelewa na viongozi wa serikali ya nchi nyingine ikulu hakumaanishi lolote katika chama. Hata hivyo, mara nyingi vyama vya siasa vina mahusiano ya kisiasa na vyama vya nchi zingine lakini pia yana mipaka kiutendaji. Kwenda kusaidia chama cha nchi nyingine katika kampeni kwa kutoa magari na manpower ni zaidi ya mahusiano ya kawaida.
Katibu wa chama (CCM) yuko kule siyo kwa kutumwa na chama chake bali kama kiongozi wa EAC Election Observer.
Sijui Ritz gani huyo unayemsema?. Una maana Ritz wa JF?. Kama ni huyo, basi hilo atakujibu yeye kama kweli yuko huko kwa mission za kisiasa.
kweli wajaluo ni wakabila wakubwa !! yaani uhuru kuna mahali kaambulia 1% tu kwenye ngome ya raila.
kweli wajaluo ni wakabila wakubwa !! yaani uhuru kuna mahali kaambulia 1% tu kwenye ngome ya raila.
Nilitaka Odinga ashinde kwa vile ninadhani kuwa yuko sincere sana katika kuhudumia raia wa kawaida. Nimekuwa ninaamini kuwa Kenyatta ni kwa walio nazo tu, na Kenya kama yalivyo mataifa mengi ya kiafrika, walio nazo si wengi namna hiyo. Hata hivyo ni lazima tukubaliane na chaguo la wakenya kwani wao ndio wanaouwajua wagombea wao vizuri zaidi ingawa ninajua pia umuhimu wa makabila ya wagombea katika Kenyan politics, na tabia za wasimamizi wa chaguzi zetu kutoheshimu wapiga kura.
51.27% for Uhuru. this is a closed deal. Hongera kwa wakenya wote kwa kupata Rais mpya mliyemchagua.
We zemarcopuli ndio isaac hassan?hebu subiri mwenye kazi yake aje kufanya wajibu wake!sawa kaka?pamoja kiongozi
Pamoja kiongoziNimekusoma mkuu, tuko pamoja...
Halafu hawa watangaza matokeo mbona wengi wanamuonekano wa kisomali?nAjiuliza tu jamani
Wameweka watu ambao sio from makabila makubwa kwa kutegemea kuwa watakuwa neutral. Na hivyo ndivyo Isaack Hassan alivyopata uenyekiti...