Uhuru Kenyatta atashinda kwa 50.42% na Raila 45.15%...na ameshinda kwa 50.03%

Uhuru Kenyatta atashinda kwa 50.42% na Raila 45.15%...na ameshinda kwa 50.03%

Status
Not open for further replies.
mpaka sasa hivi bado mshindi hajapatikana kwa mujibu wa sheria mshindi inabidi apate zaidi ya nusu ya kura zote kilichotokea mwanzoni wakati wanahesabu kura zile zilizoharibika walikuwa hazihesabiwi kama sehemu ya kura wakati zilitakiwa zihesabiwe walipogundua ndio kura zikaanza kuhesabiwa upya

If it is illegal to claim victory before IEBC declares you as one, why isn't it illegal to accept/concede defeat before IEBC declairs it? No wonder the leading candidate wont claim victory and the tailing one (Paul Muite) wont concede yet! Or how do you see it middle-classers?
 
Winner needs 50% + 1 votes Atleast 25% of votes in 24 Counties
186 of 290constituenciesreporting
8,030,114 number of valid votescast
·
UHURU KENYATTA
JUBILEE
4,021,941 votes (50.1%)

RAILA ODINGA
CORD
3,595,404 votes (44.8%)

Source: Kenya Elections 2013 - Daily Nation
nimeona hapa pia http://elections.nation.co.ke/

naona kuna uwezekano wa kurudia uchaguzi kwa hawa wagombea wawili

ila bado akina Uhuru wananafasi kutokana na makabila yao maana kabila la Uhuru (kikuyu) ni #1 na la Ruto (kalenjin) ni #2 kwa uwingi wakati akina Raila makabila yao ni ya 3 na 4 hivi kwa wingi
 
Kama wewe umesema basi tena...Ni matokeo ya aibu kwasababu wakenya wameacha kuchagua kiongozi ambaye angewafaa wamechagua mtu tu kwa ukabila..basi tena

ukiangalia parcentage na maeneo kura zinatoka ni wazi kwamba watu wanapiga kura kwa kuangalia kabila na siyo uwezo wa mgombea na hii ni aibu kwa nchi zetu za Africa maana hata katiba yao mpya haiwasaidii sana
 
Hata kama wamarekani hawamtaki Kenyata wananchi ndio wanaelekea kumpa URAIS itabidi wakubali matakwa yao kama ilivyokuwa kwao OBAMA hakupendwa sana na matajiri wachache lakini wananchi waliowengi walimtaka awe raisi wao.
 
Kama wewe umesema basi tena...Ni matokeo ya aibu kwasababu wakenya wameacha kuchagua kiongozi ambaye angewafaa wamechagua mtu tu kwa ukabila..basi tena
Kenyan decided jalini maisha yenu watz
 
Kama wewe umesema basi tena...Ni matokeo ya aibu kwasababu wakenya wameacha kuchagua kiongozi ambaye angewafaa wamechagua mtu tu kwa ukabila..basi tena

Wanaandaa pariah state.....Halafu Peter kenneth and Leo Mudavadi amekubali kushindwa tayari

If it is illegal to claim victory before IEBC declares you as one, why isn't it illegal to accept/concede defeat before IEBC declairs it? No wonder the leading candidate wont claim victory and the tailing one (Paul Muite) wont concede yet! Or how do you see it middle-classers?
 
If it is illegal to claim victory before IEBC declares you as one, why isn't it illegal to accept/concede defeat before IEBC declairs it? No wonder the leading candidate wont claim victory and the tailing one (Paul Muite) wont concede yet! Or how do you see it middle-classers?
this MUDAVADI seems came for a mission which is about to fail but he is trying as much as possible to justify their deeds!
 
14,362,169
IEBC REGISTERED VOTERS
VOTED: 1011 USERSOverall Results

RBK4.9% 703,746 vote(s)
-K
2.3% 330,330 vote(s)
CORD42.6% 6,118,284 vote(s)
AMANI1.5% 215,433 vote(s)
JUBILEE43.1% 6,190,095 vote(s)
EAGLE4.7% 675,022 vote(s)
SAFINA0.1% 14,362 vote(s)ARK

- See more at: http://election.nationmedia.com/apps/funelections/#sthash.eiW79lim.dpuf
 
Hamchelewi kujazana kwenye mabasi ya Dar Express kukimbilia Tz,kwa nini hutaki tujali
wakati hata sasa mmeshaanza kutubana kwenye ajira zetu"

Naomba kuuliza hivi kenyan nao wanafutilia kwa karibu hivi chaguzi zetu!!?je zina umuhimu wowote kwao?kamaa sisi tunavyofatilia chaguzi za kenya.
 
ukiangalia parcentage na maeneo kura zinatoka ni wazi kwamba watu wanapiga kura kwa kuangalia kabila na siyo uwezo wa mgombea na hii ni aibu kwa nchi zetu za Africa maana hata katiba yao mpya haiwasaidii sana

Acha kupotosha Umma, ni aibu kwa Wakenya sio sisi, kwetu sisi tuko vizuri tu!
 
Utata ulishaanza wa kuto aminiana
Matumaini ya walio wengi mambo kuwa shohari
 
Kenyatta akishinda itakuwa pigo kubwa kwa Chadema.

We kila mahali ni Chadema tu? Pigo kubwa kwa vipi? I support Raila, I support Chadema, so what is the pigo?
 
Maskini Raila wangu ndo ntolee tena hiyo! ila mbona Uhuru anakesi itakuwaje?
 
Acha sarakasi zako wewe gamba Chadema wajifunze nini toka kwa mafisadi??? wakati mwingijne sio lazima uandike hata kama huna lolote la maana la kuandika.

Kama Kikwete alipotangazwa mshindi hatukukimbia sembuse Uhuru ndio tukimbie? we hauko vizuri kichwani mwako.
Siyo kila wakati unatoa majibu ya kisiasa siasa katika mambo mengine yanayohitaji fikra zilizo nje ya tufe la kisiasa.

Haishangazi kuona CHADEMA wanafanya makosa yaliyofanywa na CCM kwa sababu ndani yake kuwa watu wenye fikra kama zako.

Kujifunza kunakuwa kwa mazuri au kwa mabaya kutoka kwa mpinzani wako. Kumjua mpinzani wako ni njia mojawapo ya kujifunza. Hata katika ufisadi kuna kujifunza ( strength & weakness).

Utasonga vipi mbele kwa kasi kisiasa bila kuwa na SWOT Analysis
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom