Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
Narudia '' Ili NCHI iwe na amani inabidi jaluo ashinde''
MUNGU IBARIKI KENYA
MUNGU IBARIKI KENYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh. Nilipata article kwenye Mtanzania kuhusu magari na kampeni. Kama Uhuru atashinda basi karata walizozichanga watakuwa wameuvaa mkenge.Mkuu wangu Chadema walitangaza mapema kuwa wao wanamunga mkono Raila Odinga.
Wametoa mpaka magari yao ya M4C na kuyapeleka Kenya kusaidia ushindi wa Odinga.
Ni pigo kubwa kwao walitegemea Odinga ashinde uchaguzi ili mwaka 2015 kwenye uchaguzi wetu Odinga aje kuisaidia Chadema.
Kwanini hawamtaki Uhuru mkuu Kiranga?
May be!Rais indictee hawezi kuwa rafiki wa democracy inayo uphold Law and Order.
Oooh. Nilipata article kwenye Mtanzania kuhusu magari na kampeni. Kama Uhuru atashinda basi karata walizozichanga watakuwa wameuvaa mkenge.
CHADEMA ilichokifanya ni political immaturity. Tatizo viongozi wa CHADEMA hawataki kujifunza hata chembe ( hasi au chanya) kutoka CCM.
Kama uhuru atashinda, tegemea magwiji wa CHADEMA hapa JF kusepa. Huta waona hasa wale walioanzisha thread.
Ndiyo siasa zenyewe. Kujifunza katika makosa.

Halafu zile artcle za Uhuru kumtembelea Kikwete, Bagamoyo kuitwa Mwai Kibaki na Katibu wa chama pamoja na Ritz kupiga kambi Nairobi wakati huu wa uchaguzi wewe hujaziona??
Na Magufuli naye atasepa, kwani alialikwa na kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa kampeni za Raila... Kama uhuru atashinda, tegemea magwiji wa CHADEMA hapa JF kusepa. ...
jinsi alliance zilivyoundwa ndiyo kila kitu.....Hapo kwenye red, uchaguzi ulimalizwaje Desemba 2012, fafanua!!!
Kwanini hawamtaki Uhuru mkuu Kiranga?
Itabidi muujiza aisee...the stakes are too high for Uhuru Kenyatta to lose.
Mimi naona kutakua na ishu mahakamani maana hawa CORD hawajambo kwa mawakili na wansheria.
Tusubiri huko sasa.
namtakia kila la kheri Uhuru. wanaosema wanachadema wanamuunga mkono odinga ni waongo. mimi ni mwanachadema lakini namuunga mkono uhuru.