Uhuru Kenyatta atembelea Nyota ya Magufuli kujaribu kupambana narushwa

Uhuru Kenyatta atembelea Nyota ya Magufuli kujaribu kupambana narushwa

Hahahahaha, Mutua Kilonzo kafanya miaka sita iliyopita, ila Uhuru ndio amestukia sasa hivi na kuona ni jambo nzuri na ameamua kulifuatilia kwa nguvu baada ya kumuona Magufuli.

Uhuru tangu aanze hili zoezi ameshakamata ghost workers zaidi ya 5000, na ametangaza pesa alizokwishaokoa. Tafadhali tuletee ushahidi Mutua alikamata ghost workers wangapi na aliokoa kiasi gani?, wewe ni mwongo mkubwa, hakuna na Mutua wala nani, hili zoezi hapa Africa mwanzilishi wake ni Magufuli, wengine wanaharibu kumuiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
mutua kilonzo ndio nani...bwahahaaaa...hyo kazi hta magavana wanafanya..si kitu cha kujipigia kifua...ndio raisi naye kaona jamaa wamezidi...kisa kaona upole utakuja mponza...ndio kaonelea ayaingie...ndio manake siku uhuru kaamua kuwa mkali...

narudia tena..kazi ya ghost workers..hta magavana wanaifanya kw county zao...bwahaaaa...
 
Nimekuambia wewe akili yako ipo Kibera, rais hana mamlaka ya kumtengua CAG, anachoweza kufanya ni kulivunja bunge ili ufanyike uchaguzi mpya, huko kwengine kote ulikokutaja anamlaka nako. Kama angekua na mamlaka ya kumtegua CAG, siku nyingi ungesikia ameshamuweka pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
hayo mambo ya kumtengua unayaleta wewe...sema tu umeelewa ninacho kisema ili unajifanya taira na kukomaa kw kumtengua...

ukwel ni kwamba...magu hajui atatokea wapi...ndio kaamua kukaa kimya...ywajua akiongea tu..ule urogi wote utaharibika na kuishia kuumbuka...wachezea masharti ya mganga wewe...

km yeye ni jiwe kweli...aliingilie hili swala ili ajue hatima yake...si kukaa kimya...mbna yeye hukasiirika wengine wakiiba...magu kw kubana matumizi kweli anaeza kubali hela km hyo ipotee kiulaini..kweli hapo kuna mkono wa ccm km yale ya kule bandarini...ma container ikabidi yapigwe mnada na jamaa yuko mtaani anadunda kisa ni ccm...
 
Back
Top Bottom