Uhuru Kenyatta atembelea Nyota ya Magufuli kujaribu kupambana narushwa

mutua kilonzo ndio nani...bwahahaaaa...hyo kazi hta magavana wanafanya..si kitu cha kujipigia kifua...ndio raisi naye kaona jamaa wamezidi...kisa kaona upole utakuja mponza...ndio kaonelea ayaingie...ndio manake siku uhuru kaamua kuwa mkali...

narudia tena..kazi ya ghost workers..hta magavana wanaifanya kw county zao...bwahaaaa...
 
hayo mambo ya kumtengua unayaleta wewe...sema tu umeelewa ninacho kisema ili unajifanya taira na kukomaa kw kumtengua...

ukwel ni kwamba...magu hajui atatokea wapi...ndio kaamua kukaa kimya...ywajua akiongea tu..ule urogi wote utaharibika na kuishia kuumbuka...wachezea masharti ya mganga wewe...

km yeye ni jiwe kweli...aliingilie hili swala ili ajue hatima yake...si kukaa kimya...mbna yeye hukasiirika wengine wakiiba...magu kw kubana matumizi kweli anaeza kubali hela km hyo ipotee kiulaini..kweli hapo kuna mkono wa ccm km yale ya kule bandarini...ma container ikabidi yapigwe mnada na jamaa yuko mtaani anadunda kisa ni ccm...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…