Uhuru Kenyatta Atimiza Miaka 65: Video Yake ya Zamani Akifurahia Yazua Nostalgia

Uhuru Kenyatta Atimiza Miaka 65: Video Yake ya Zamani Akifurahia Yazua Nostalgia

Wakaguongo

Member
Joined
Sep 23, 2026
Posts
95
Reaction score
38
Aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametimiza miaka 65 leo, Jumatatu, Oktoba 26, 2026.

Katika video hii ya zamani akiwa madarakani, Uhuru anaonekana akicheka ikionyesha upande wake mchangamfu nje ya mijadala mizito ya kisiasa.

Video hiyo inatoa nafasi kwa Wakenya kukumbuka nyakati tofauti za uongozi wake, huku maoni kuhusu urithi wake wa kisiasa yakiendelea kutofautiana.

Je, unamkumbuka Uhuru Kenyatta vipi katika miaka yake kama Rais na ni tukio gani la utawala wake ambalo bado liko kwenye kumbukumbu zenu?
 
Back
Top Bottom