Uhuru Kenyatta atumia jeshi baada ya mgomo wa wafanyakazi JIA, lakini akitumia Rais Magufuli hapa kwetu ni dikteta!

Hata hapa TZ serikali ilikwisha fanya kitu kama hicho baada ya waongoza ndege kugoma
 
Wangebangua kwa mikono ....................!!?

When we say we do not have the capacity as a country ... it means we do not have enough equipment or machinery. Not skills or manpower!!
 
Uongozi una kanuni zake na porojo jf zina mihemuko yake. wangesema tuu naamini hata wakenya wanasema ila inchi inasonga.
 
Mbn unajitekenya nwenyewe toa hesabu ya walichofanya kwenye kor show. Kenya ni tofauti na hapa. Kwani ametumia kununua kor show akaitwa bokasa mdogo.
Kupiga marufuku siasa, kupiga na kubambikizia kesi wapinzani. Kuua upinzani bungeni, kutoheshimu kautaratibu Li alifanywa nini, ndicho watu wanahisi huyu nani sijui anaweza kuwa au anajitengeneza kuwa.
Hao waliomtangulia walianzaga vile akina nguema, bokasa, mobutu na baba lao hitila jitambue....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uko sahihi. Kawaida ninavyoelewa mimi,JWTZ huwa wanatumika kwenye incidences ambazo ni emergence tu, kuanzia matukio makubwa kama yale ya vita mpaka kwenye haya madogomadogo kama ya juzi kule Arusha kwenye maduka ya Fedha. Ninaposema emergence hapa namaanisha ni matukio yale ambayo huwa yanajitokeza ghafla bila kupangwa au kutarajiwa. Vita huwezi kuipanga, japo kwa kiasi fulani unaweza ukai-predict kutokana na trends zitakazokuwa zimejionyesha. Swala la juzi kwenye maduka ya Forex lilikuwa emergence kwa Serikali kwa maana kuwa Serikali haikuwa imetarajia uwepo wa kile kilichokuwa kinaendelea kwenye maduka hayo, so it was okay ku-deploy nguvu ya JWTZ. Ni maoni yangu lakini, I stand to be corrected
 
kulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
Akili zako za kinyonge ni sehemu ya tatizo la umaskini wa Tanzania.
 
Waliogoma pale ni wafanyi kazi wa masuala ya ndege ana angani, wanajeshi walioletwa pale kusaidia ni wa masuala ya ndege na angani.
Ni tofauti sana na unapowatuma wanajeshi wakabangue korosho.
 
kulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
Mh, aise wewe pamoja na walolike ni wapumbavu wa mwisho na ndio sababu hili taifa linachelewa kusonga mbele. Hasara tupu, shame on you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
We ! Kenya unaijua wewe au unaongea tu.
 
Udikteta ni kama angetumia Jeshi kuwalazimisha wafanyakazi warudi kazini. Lakini pia ungekuwa ni Udikteta kama angesema wafanyakazi waliogoma wasirudi kazini kwa kuwa wamegoma!!
Ha ha ha hizo tafsiri zako !!!
 

Tuambie ni wapi hapa kwetu wafanyakazi wamegoma kufanya kazi kisha likapelekwa jeshi kuifanya kazi ile na huku matakwa ya wagomaji yakishughulikiwa? ukituambia basi huo ndo utakuwa mfano hai wa kufananisha matukio. Ama kupeleka jeshi kufanya kazi kama ya korosho au kujenga madaraja au kuokoa maisha hilo siyo jambo baya wala halina uhusiano na udikteta.
 
Kula like tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…