Uhuru Kenyatta azindua sarafu mpya za Kenya ambazo hazina picha za marais

Uhuru Kenyatta azindua sarafu mpya za Kenya ambazo hazina picha za marais

Naunga mkono hoja
Ni ufinyu tu wa mawazo. Hata nyie mnaoweka sanamu za wafu ndio kusema watu wenyewe hawauliwi na watu wenzao.

Hao wanyama kama wanauliwa, umesikia eti ni serikali ndio inawaua. Hakuna nchi iliyofika ilipo kwa juhudi ya mtu mmoja. Mambo ya kufanya wengine miungu watu ndio imeifanya bara hili kuwa hapa lilipo na kubaki kuangaika na bakuli kila siku. Bure kabisa.
 
hao wanyama ndio waasisi wa taifa la kenya?
Mimi ninafikiri, badala ya kushangaa hizo picha za wanyama, tushangae hizo fedha zao zilivyo na thamani. Shilingi 1/= inatengenezwa mwaka huu 2018? Wakati sisi kwetu sarafu ya chini iliyopo kwenye mzunguko ni 100! Hizo 10/= ,20/= na 50/= ni kama tulishazitoa kwenye matumizi!
 
Hahahhaa mkuu nimecheka, ivi kwa hio hakuna hela yetu ata 1 isiyokua NA mnyama?? Tena afadhali zao zinawanyama but zetu zina mpaka wadudu( Nyoka), alaf labda nikuambie tu usibabaishwe na kuwekwa wanyama kwenye hela zao, wao wanajua zaidi ya tunavyojua mm na ww mkuu, ukija kwa upande wa hela yao, hela yao iko juu kuliko yetu ambayo, KWANZA 1.5 YETU IKO WAPI MKUU????
Nyoka ni mdUdu au mnyama.??
 
Back
Top Bottom