cdm hapa imeingiaje hapo? Mbona hata kina uhuru walikuwa wapinzani? Aisee nakusikitia..weka ushabiki pembeni jadili hoja.
upofu wa kiafrika ndio huu,,, yule Uhuru wa KANU alishazikwa
Huu ni aina ya ushindi ambao utampa shida sana Kenyatta na timu yake kuongoza nchiIlionekana tangu mapema kuwa angeshinda! Amepata kura 6,173,433 ambazo ni sawa na 50% + 41000votes dhidi ya Odinga mwenye kura 5,340,546 tu!
Winning by a margin of just 4,099 with either 108,975 or 330,000 votes rejected, whichever figure is correct, leaves a big cloud on the legitimacy of the outcome.
I loved Uhuru and Karua from the beginning but the first debate also told me i wasnt wrong im happy he has achieved,naamini ataleta maendeleo Kenya na East Africa kwa pamoja
Pamoja na vikwazo vingi Uhuru ameshinda kwa zaidi ya asilimia 50 hivyo kesho atatangazwa kuwa rais wa nne wa Kenya. Hongereni wakenya kwa maamuzi sahihi
Uhuru anatokana na chama tawala cha Rais Kibaki PNU! huku Raila akitokana na chama kikuu pinzani ODM ingawaje kiliingia ktk Serikali ya Mseto kama vile CCM na CUF!
Huu ni aina ya ushindi ambao utampa shida sana Kenyatta na timu yake kuongoza nchi