Uhuru Kenyatta elected 4th Kenyan President.

Uhuru Kenyatta elected 4th Kenyan President.

Ushindi wa Uhuru ni kufunguka kwa era mpya kwa vijana Afrika Mashariki! Kenya wameweza kumchagua Rais Kijana Tanzania huenda ikafwatia kwa akina Ziti Kabwe kuongaza! ee Mungu tusaidie!
 
cdm hapa imeingiaje hapo? Mbona hata kina uhuru walikuwa wapinzani? Aisee nakusikitia..weka ushabiki pembeni jadili hoja.

Uhuru anatokana na chama tawala cha Rais Kibaki PNU! huku Raila akitokana na chama kikuu pinzani ODM ingawaje kiliingia ktk Serikali ya Mseto kama vile CCM na CUF!
 
upofu wa kiafrika ndio huu,,, yule Uhuru wa KANU alishazikwa
 
I loved Uhuru and Karua from the beginning but the first debate also told me i wasnt wrong im happy he has achieved,naamini ataleta maendeleo Kenya na East Africa kwa pamoja
 
Ilionekana tangu mapema kuwa angeshinda! Amepata kura 6,173,433 ambazo ni sawa na 50% + 41000votes dhidi ya Odinga mwenye kura 5,340,546 tu!
Huu ni aina ya ushindi ambao utampa shida sana Kenyatta na timu yake kuongoza nchi
 
Winning by a margin of just 4,099 with either 108,975 or 330,000 votes rejected, whichever figure is correct, leaves a big cloud on the legitimacy of the outcome.

I couldn't agree more with you! It is absolute non-sense for the IEBC to reject votes that have been casted...whether they are valid or not for goodness sake every vote contributes to 100% of vote casted and must be taken into account.
 
siasa za kenya,ni ukabila +mtandao wa kibepari uliomuweka uhuru!ss watu wengine hapa kujifanya kushadadia wanafikiri hii ni ccm na cdm au siasa za tz? Eti kijana!kijana wapi,u don knw wht is behind the scene
 
Odinga pia kapata kura za kabila lake, Hongera sana ni furaha ilioje
 
I loved Uhuru and Karua from the beginning but the first debate also told me i wasnt wrong im happy he has achieved,naamini ataleta maendeleo Kenya na East Africa kwa pamoja

Unamjua uhuru na historia yake? Au unajua tu kuwa ni mtt wa kenyata?waafrica bwana na mtaongozwa sana nchi km za kifalme,eti ndo democracy! My foot!alete maendeleo?unacheza na mtandao wa kibepari ww
 
"My Fellow Kenyans, I may not have done you the best things, but MAMA NGINA has helped me do it for you!! You all know, I dedicate all my youthfulness fo fight the white butterflies out of the ridges and valleys of Kenya and purposely today Kenyans are free!! Its because of this long-awaited freedom, that I have decided to dedicate this wonderful gift given to you by Mama Ngina to the Kenyans!! His name shall be UHURU. I tell you today, even when I am gone, it is this freedom (UHURU) that will take you to the promised land!" - Jommo Kenyata
67078_224270087710768_611168020_n.jpg
 
Pamoja na vikwazo vingi Uhuru ameshinda kwa zaidi ya asilimia 50 hivyo kesho atatangazwa kuwa rais wa nne wa Kenya. Hongereni wakenya kwa maamuzi sahihi

Mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Uhuru anatokana na chama tawala cha Rais Kibaki PNU! huku Raila akitokana na chama kikuu pinzani ODM ingawaje kiliingia ktk Serikali ya Mseto kama vile CCM na CUF!

Duh, haya unayosema yapo sahihi kweli!
 
This a very deep set back for democracy and revolution in Kenya though democracy itself has worked on its limitations.
Good democracy has chosen bad leadership. Bad Leadership that will kill the good democracy.
 
Back
Top Bottom