Uhuru Kenyatta elected 4th Kenyan President.

Hii nukuu kutoka CNN, nzuri sana ukitafakuri

Kenyatta knows that he needs the United States and the United States knows it needs Kenya.," she said. "And so I suspect that while it might be awkward, there won't be a significant change in our policy stances toward Kenya or theirs toward us." No faith in the ICC
Analysts say the ICC indictment may have rallied citizens to Kenyatta's side to defy the West.
"Many Africans have lost faith in ICC and view it as targeting African leaders and failing to discharge its justice among non-African leaders in the world," said Ayo Johnson, director of ViewPoint Africa.
"Kenya sent a loud message to the ICC... don't interfere, and it does not matter if you brand our leaders as criminals."
The president-elect's trial starts July 9 while his running mate's is in May.
 
Baada ya kukaa chini na kujadiliana kwa kina kuhusu namna ya uongozi ambao Kenyatta yuko tayari kumpa na yeye Raila kusema kile akitakacho ndani ya Serikali mpya. Wanaweza kuafikiana au la.

utampaje mtu cheo asiekubali ushindi wako?
labda wale wengine na sio Raila Omela
 
Baada ya kukaa chini na kujadiliana kwa kina kuhusu namna ya uongozi ambao Kenyatta yuko tayari kumpa na yeye Raila kusema kile akitakacho ndani ya Serikali mpya. Wanaweza kuafikiana au la.

Katiba hairuhusu hayo kutokea. Raila lazima akae kwa bench, no way in. Afterall inashangaza kushutumu watu ambao wamechaguliwa kwa mkono wake yeye na rais. Machaguo ambayo hakushilikishwa alikuwa ana protest waziwazi na yanarudiwa, sasa hiii imekaa je?

Inashangaza sana hizo za kuibiwa anazosema ni homa tu.
 
Uhuru asisitiza kuwa yuko tayari kumkaribisha Raila kwenye serikali...
 
Tatizo kubwa la sisi wa afrika ni kukubali kipigo ndo tatizo la msingi. Hili tatizo ni sawa na kusema samahani tunapokosea. Nafikiri linatoka na tamaduni zetu.
 
Uhuru asema uchaguzi huo ndio "the most free and the most fair election in the history of Kenya"

..............Kumbe mabadiliko ni kitu cha kawaida.... nawapa HONGERA wa KENYA wote wafahamu kwamba hakuna aliyeshinda bali Kenya yenye amani ndio mshindi... Nitakuwa mkosefu wa FADHILA bila ya kumpa pole nyingi sana Mhe. Magufuli na wengine wote waliojitahidi kumsaidia Raila Odinga lakini Si RIZIKI
 
Tatizo kubwa la sisi wa afrika ni kukubali kipigo ndo tatizo la msingi. Hili tatizo ni sawa na kusema samahani tunapokosea. Nafikiri linatoka na tamaduni zetu.

Mkuu MkamaP: Heshima kwako, please be just and rational.
 
Katiba hairuhusu hayo kutokea. Raila lazima akae kwa bench, no way in. Afterall inashangaza kushutumu watu ambao wamechaguliwa kwa mkono wake yeye na rais. Machaguo ambayo hakushilikishwa alikuwa ana protest waziwazi na yanarudiwa, sasa hiii imekaa je?

Inashangaza sana hizo za kuibiwa anazosema ni homa tu.

Yaani wewe ndio umesema kweli, huwezi kwenda kulalamikia mfumo ambao wewe ndio Kiongozi wake, Bw. Odinga ni Waziri mkuu na Bw. Musyoka Makamu wa raisi sasa wanamlalamikia nani, mbona wao ndio viongozi wa Serikali?
 
Wanamlalamikia Ruto aliyekuwa waziri wa kilimo na kuachishwa kazi na Raila. What a shame!
 
Hii nukuu kutoka CNN, nzuri sana ukitafakuri

Kenyatta knows that he needs the United States and the United States knows it needs Kenya.," she said. "And so I suspect that while it might be awkward, there won't be a significant change in our policy stances toward Kenya or theirs toward us." No faith in the ICC
Analysts say the ICC indictment may have rallied citizens to Kenyatta's side to defy the West.
"Many Africans have lost faith in ICC and view it as targeting African leaders and failing to discharge its justice among non-African leaders in the world," said Ayo Johnson, director of ViewPoint Africa.
"Kenya sent a loud message to the ICC... don't interfere, and it does not matter if you brand our leaders as criminals."
The president-elect's trial starts July 9 while his running mate's is in May.
Huu ni Uhuni mwingine. Kwani Ocampo si Wakenya wenyewe walimfuata? au poti MkamaP unataka kusemaje?
Ninakubali kuwa ICC sera zake si thabiti,lakini mharifu anapaswa kupewa haki yake.
 
Last edited by a moderator:

This is truly African understanding of the ICC (was formed solely for African leaders), indeed this is a clear msg to the Western Powers that what God decides none of the gentiles can decide otherwise. Bravo Kenyans...Keep up this spirit forever!!!!
 
Odinga amesema hayatambui matokeo ya urais anaenda supreme court jumatatu asubuhi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Atafanya vema kwenda supreme court. Itasaidia kukomesha wizi wa kura kwa nchi zetu za AfriKa. Haiingii akilini kabisa matokeo ya awali tu yalipotolewa difference ya kura ilikuwa 400,000. Na hiyo figure almost imekuwa constant mpaka mwishoni. Kuna kila dalili za mchezo mchafu. Hapa TZ 2015 hatutakubali wizi wa kura utokee ndio maana tumeanza na katiba mpya itayoruhusu matokeo kupingwa mahakamani
 
Yaani wewe ndio umesema kweli, huwezi kwenda kulalamikia mfumo ambao wewe ndio Kiongozi wake, Bw. Odinga ni Waziri mkuu na Bw. Musyoka Makamu wa raisi sasa wanamlalamikia nani, mbona wao ndio viongozi wa Serikali?

Tatizo la kukariri vitu. Kenya wana chombo huru cha uchaguzi IEBC si kama ilivyo kwa seikali ya TZ ambayo ndio yenye tume ya uchanguzi. Kwa hiyo kulalamikia mwenendo wa tume ni sawa kwa mtu yeyote yule awe raisi au mkuu wa wilaya.
 
Huu ni Uhuni mwingine. Kwani Ocampo si Wakenya wenyewe walimfuata? au poti MkamaP unataka kusemaje?
Ninakubali kuwa ICC sera zake si thabiti,lakini mharifu anapaswa kupewa haki yake.

Kwa haraka haraka unaweza sema hivyo, lakini indirectly wamagharibi walishinikiza hiyo kitu. Ni sawa sawa ni vita inayoendelea Syria walioanzisha tifu ni wa syria wenyewe lakini ma archtects ni hawa mabeberu wa magharibi.
 
Yaani wewe ndio umesema kweli, huwezi kwenda kulalamikia mfumo ambao wewe ndio Kiongozi wake, Bw. Odinga ni Waziri mkuu na Bw. Musyoka Makamu wa raisi sasa wanamlalamikia nani, mbona wao ndio viongozi wa Serikali?
Kijakazi,
Ukweli wa "Mamlaka" ya Raila kama PM ni kuwa hakuwa na mamlaka kamili. Mfano,kuna wakati aliwatimua mawaziri wawili aliowateua yeye,(kumbuka kuna wizara zilikuwa chiji ya Raila), Mawaziri hao ni pamoja na Ruto, lakini Mamlaka nyingine (Kibaki) ikawarudisha kazini. Pia Wizara nyeti zote ziliwekwa Chini ya Kibaki. Na muhimu kuliko yote ni Ukabila wa Kibaki Mkikuyu,Maafisa waandamizi wote (AG- Prof Muigai,DG-NSIS[Usalama wa taifa] General Gichangi, Mkuu wa Majeshi Julius Karangi,Head of Public Service-Muthaura,and later on Kimemia--Wote hao ni Wakikuyu. Ilifikia wakati Chief Secretary anamtolea maneno ya Dharau Waziri Mkuu Raila...Inshort, Odinga kuwamo Serikalini si lolote,si chochote. Likewise Kalonzo Musyoka.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la kukariri vitu. Kenya wana chombo huru cha uchaguzi IEBC si kama ilivyo kwa seikali ya TZ ambayo ndio yenye tume ya uchanguzi. Kwa hiyo kulalamikia mwenendo wa tume ni sawa kwa mtu yeyote yule awe raisi au mkuu wa wilaya.

Hao wakuu wa tume huru wamepatikanaje, kwa wewe usiyekariri?
 
Uhuru ameongea kwa herufi kubwa na msisitizo kuwa anamtaka Raila aende kushiriki kwenye serikali atakayounda. Sasa sijui mtu aliyekuwa Waziri Mkuu anaweza kupewa nafasi gani serikalini itakayomfaa!!! Labda mwakilishi wa Kenya kwa UN.
 
Back
Top Bottom