Ukweli ndo uwoπππDah
Eti mpaka Jina Kenya yawezekana ni mai ya Kenya-tta family.
Ha ha ha ha
Nimecheka sana aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23]
Professor Kiherehere.. bado ukona diarrhea ya mdomoKenya Ports Authority KPA na Pipeline KPC zipo sasa kwa mpango wa kuuzwa..Kenyatta anameza mate tu
wa Tanzania hawa somi Kiherehere tu.. na kuomba omba kila nchiManyang'au na kujifanya wasomi (wa kukijijuwa kiingereza) sijuwi walipewa nini na hii familia ya Kenyatta?! Yaani wanamiliki karibu kila kitu kwenye ile nchii! Hawana tofauti na kina Bokassa/Marcos/Bia/Idd Amini n.k n.k. Waliuana kuhusu Katiba! Cha kushangaza hiyo Katiba waliomwaga damu za Wakenya wenzao imekuwaje inaruhusu huu ubwanyenye?!
Utafikiri ile familia inaongoza Ma-Zombies?! Bure kabisa...heri tukae na Udanganyika wetu kuliko ujinga kama huo...
Hawezi hacha hiyoπππππKenya Ports Authority KPA na Pipeline KPC zipo sasa kwa mpango wa kuuzwa..Kenyatta anameza mate tu
They are zombiesπππππManyang'au na kujifanya wasomi (wa kukijijuwa kiingereza) sijuwi walipewa nini na hii familia ya Kenyatta?! Yaani wanamiliki karibu kila kitu kwenye ile nchii! Hawana tofauti na kina Bokassa/Marcos/Bia/Idd Amini n.k n.k. Waliuana kuhusu Katiba! Cha kushangaza hiyo Katiba waliomwaga damu za Wakenya wenzao imekuwaje inaruhusu huu ubwanyenye?!
Utafikiri ile familia inaongoza Ma-Zombies?! Bure kabisa...heri tukae na Udanganyika wetu kuliko ujinga kama huo...