Uhuru Kenyatta Family owns part of JKIA...๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

Manyang'au na kujifanya wasomi (wa kukijijuwa kiingereza) sijuwi walipewa nini na hii familia ya Kenyatta?! Yaani wanamiliki karibu kila kitu kwenye ile nchii! Hawana tofauti na kina Bokassa/Marcos/Bia/Idd Amini n.k n.k. Waliuana kuhusu Katiba! Cha kushangaza hiyo Katiba waliomwaga damu za Wakenya wenzao imekuwaje inaruhusu huu ubwanyenye?!
Utafikiri ile familia inaongoza Ma-Zombies?! Bure kabisa...heri tukae na Udanganyika wetu kuliko ujinga kama huo...
 
wa Tanzania hawa somi Kiherehere tu.. na kuomba omba kila nchi
 
Manyang'au na kujifanya wasomi (wa kukijijuwa kiingereza) sijuwi walipewa nini na hii familia ya Kenyatta?! Yaani wanamiliki karibu kila kitu kwenye ile nchii! Hawana tofauti na kina Bokassa/Marcos/Bia/Idd Amini n.k n.k. Waliuana kuhusu Katiba! Cha kushangaza hiyo Katiba waliomwaga damu za Wakenya wenzao imekuwaje inaruhusu huu ubwanyenye?!
Utafikiri ile familia inaongoza Ma-Zombies?! Bure kabisa...heri tukae na Udanganyika wetu kuliko ujinga kama huo...
They are zombies๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom