Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhaa*Maisha ya ajabu sana, Raila kajiapisha kuwa Raisi wa Kenya halafu anarudi nyumbani badala ya kwenda Ikulu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
hapana kama jana ingekuwa ni hapa Tanzania !!kuna yule bwana mdogo angemshauri babake watoe mpaka vifaru vya ziada aue watu.......... big up Uhuru Kenyeta hukutumia nguvu umetumia akili ...........nakwambia kabisa ingekuwa Tanzania mauaji ya ajabu yangetokea janaHAHAHAAAA...umesema: RAIS KIJANA KABISA NA HANDSOME KULIKO WOTE AFRIKA MASHARIKI.
yaani angekuwa baba jaden gaden jurgen tungekuwa na msiba wa kitaifa hapaBinafsi nimeridhishwa kwa kiwango cha juu cha usitahimilivu wa kisiasa wa huyu bwana. Viongozi wa Africa wana jambo la kujifunza kutoka kwa (peace keeper Uhuru).
Do you mean Bashite Maui?hapana kama jana ingekuwa ni hapa Tanzania !!kuna yule bwana mdogo angemshauri babake watoe mpaka vifaru vya ziada aue watu.......... big up Uhuru Kenyeta hukutumia nguvu umetumia akili ...........nakwambia kabisa ingekuwa Tanzania mauaji ya ajabu yangetokea jana
Lakin kaka wa demokrasia akazima vituo vya runingaWakati waliowengi walitegemea machafuko makubwa Jana Kenya kwa kitendo cha UHAINI kwa RAILA ODINGA kujiapisha,ukweli ukawa tofauti. Jana mpk saa 5 asbh vikosi vya dola vilijiweka kivita na kishali kuakikisha UHURU PARK hakai wala hafiki mtu.
Mh. Uhuru Kenyata, kaka mpenda demokrasia, aliamulu vikosi vyote vya dola kuondoka na kuacha UWANJA huo huru ili wapenzi na wafuasi wa ODINGA wakae wafanye watakayo ili wapunguze hasira zao. Mpk hivi hakuna hata aliyejikwaa kidole. JE INGEKUWA HAPA hali ingekuwaje.
JE TUNAJIFUNZA NINI. Na madikteta wetu wa afrika mashariki wanajifunza nini kutoka kwa RAIS KIJANA KABISA NA HANDSOME KULIKO WOTE AFRIKA MASHARIKI.
Sababu kuu ya kuzima vituo hivo vya habari ni kwamba wanaNASA hawawezi kutegemewa ikifika ni kudumisha amani. Wenzao kule mashinani wangeona live kinachoendelea pale bustani ya Uhuru Park wangeanza zao kama kawa. Mara waende kwenye ofisi za mamlaka ya rais kule kwenye kaunti, waanze kutupa mawe. Mara sijui wafunge barabara na kudhubutu kuingia kwenye stesheni za polisi kimabavu. Jana imekuwa ni siku yao ya kutafakari mapana ya ujinga wao. Very proud of my president, His Excellency Uhuru Muigai Kenyatta.Lakin kaka wa demokrasia akazima vituo vya runinga
Je uhuru wa habar si nguzo tena ya dwmokrasia
Wakati waliowengi walitegemea machafuko makubwa Jana Kenya kwa kitendo cha UHAINI kwa RAILA ODINGA kujiapisha,ukweli ukawa tofauti. Jana mpk saa 5 asbh vikosi vya dola vilijiweka kivita na kishali kuakikisha UHURU PARK hakai wala hafiki mtu.
Mh. Uhuru Kenyata, kaka mpenda demokrasia, aliamulu vikosi vyote vya dola kuondoka na kuacha UWANJA huo huru ili wapenzi na wafuasi wa ODINGA wakae wafanye watakayo ili wapunguze hasira zao. Mpk hivi hakuna hata aliyejikwaa kidole. JE INGEKUWA HAPA hali ingekuwaje.
JE TUNAJIFUNZA NINI. Na madikteta wetu wa afrika mashariki wanajifunza nini kutoka kwa RAIS KIJANA KABISA NA HANDSOME KULIKO WOTE AFRIKA MASHARIKI.
*Maisha ya ajabu sana, Raila kajiapisha kuwa Raisi wa Kenya halafu anarudi nyumbani badala ya kwenda Ikulu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Bx wanaNASA wanafanana na nyumbu wetu huku ufipanSababu kuu ya kuzima vituo hivo vya habari ni kwamba wanaNASA hawawezi kutegemewa ikifika ni kudumisha amani. Wenzao kule mashinani wangeona live kinachoendelea pale bustani ya Uhuru Park wangeanza zao kama kawa. Mara waende kwenye ofisi za mamlaka ya rais kule kwenye kaunti, waanze kutupa mawe. Mara sijui wafunge barabara na kudhubutu kuingia kwenye stesheni za polisi kimabavu. Jana imekuwa ni siku yao ya kutafakari mapana ya ujinga wao. Very proud of my president, His Excellency Uhuru Muigai Kenyatta.