Uhuru Kenyatta hana mfano Afrika kwa demokrasia

Leo NRM imepigwa marufuku rasmi na imeandikwa kwenye orodha ya vikundi vilivyopigwa marufuku Kenya kama Al Shabaab na Mungiki
Umesahau kuongeza jina la jeshi letu la Makande Army. Acha dharau wewe! πŸ˜€
 
Chezea vyote baba the Hague ni nowmaaa!Nani arudi huko kifalafala tu.![emoji122][emoji122]
 
Demokrasia ni uwanja mpana sana mbona TV stations zilzimwa zote ili sisionyeshe hilo tukio?
pointi kama alishindwa kuwaluusu waandishi wa habari wafanye kazi yao kuna demokrasia gani apo wanahabari wanaluusiwa kuingia adi vitani bila kuguswa sembuse mkutano tu mimi nadhani kuna kitu kipo nyuma ya pazia kilichofanya uhuru aluusu mkutano huwo ufanyike na hakuna demokrasia yoyote
 
Hakujiapisha Rais Wa Kenya ,kajiapisha RAIS WA WANANCHI. !!! Kuweni makini ! Ni majnuni tu !
 
Asante....maana nilikua natafakari hii kitu inawezekana vipi kwenye afrika hii hii
 
Kamuulize Ray C kwanini ali'fall in love' na rais wetu U.Kenyatta. Anamsifia mchana na usiku bana! Hehe πŸ˜€πŸ˜€ Hadi alisema laivu kwamba 'Uhuru Kenyatta is the type of man ill'd want.' πŸ˜‰
Ni wavuta bange wote
 

Uhuru yuko kwenye probation period. Akijaribu kuleta za kuleta Fatou Bensouda atalala naye mbere.

Wameponea chupuchupu ndiyo MAANA yuko makini sana.
Ukizingatia move yake ya kujitoa ICC hakufua dafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…