Uhuru Kenyatta in USA

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Katika somasoma zangu kwenye mitandao ya habari I saw the following.

Uhuru alienda US kuonana na Trump lakini 1. Hakupokelewa na Trump. 2. Trump na mkewe walisimama kwenye Red carpet 3. Uhuru na Mkewe walisimama pembeni mwa red carpet.



Wakenya mnaliona je hili jambo? Je, mtaweza fanya hivyo siku Trump akija kwenu?
 
Leo ni Thursday, ile siku Theresa May anawasili Kenya so tunatarajia nyuzi kufunguliwa kwa wingi kujaribu ku-neutralize Kenyan superiority through any possible means.
 
hahahaha true....kisha hivi ni vitu vidogo vidogo tu...havina mantiki yoyote...cha muhimu ni zile deals zilizokuwa signed na kadhalika
Acha waji'keep' bize na hivo vitu vidogo vidogo. Sisi tutaendelea kuangalia 'the big picture' kama kawa.
 
Wameshaipata kitambo so usingoje kusikia tena kutoka kwao.
Hii iwafikie, kutoka enzi zile. Tunawapiga bao- Ukoo Flani MauMau ft. Ibra da Hustla. Skiza flow na American twang ya Kimya, nduguye Bamboo.
 

Hivi kwanini mkewe Trump aliva vazi linalo onyesha mikono yote, pia kwanini vazi hilo lilimbana nyonyo hadi anaonekana kimahaba mahaba, kwanini Trump alifunga tai ya rangi tofauti na ile ya Uhuru, ooops kwanini Trump amenuna sana kwenye hiyo picha, kwanini bendera yetu hapo imetundikwa upande wa kushoto, kwanini askari Marine aliye nyuma ya rais wetu hapendezi, mbona wasingeweka Navy seal ...kwani kwani kwanini.....aaarrghhh nina hasira sana na huyu Trump, anamdhalilisha rais wetu, hana heshima na ikulu yetu,
 
Leo ni Thursday, ile siku Theresa May anawasili Kenya so tunatarajia nyuzi kufunguliwa kwa wingi kujaribu ku-neutralize Kenyan superiority through any possible means.
Superiority? England is a confused nation these days. With Brexit and it's brewing beef with Russia I'd rather not be visited by her. They have enough problems themselves I wouldn't want them to inconvenience us. She is there to make sure you'll side with Britain Incase a war erupts. The business thing is just a cover. You are being used you fools.
 
Alikwenda ni Rais sio kenya nzima so either amepata aibu hajaipata, amesimama kwa red carpet hajasimama haituhusu ndewe wala sikio, tupambane na hali zetu. Kinacho matter ni kumek dollars si kumek noise over the Internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…