Uhuru Kenyatta is leading Raila Odinga by 98.2%

Uhuru Kenyatta is leading Raila Odinga by 98.2%

Demokrasia ya Afrika, kwa mantiki iyo anapita bila kupingwa kwa ushindi wa kishindo.
 
Raila is not a presidential candidate alijitoa

Turn out ni 27% countrywide
Of the 19mn voters only 3.27mn voted
500,000 of this are spoiled voted
Acha kujifanya nungunungu. Baba yenu Raila alikuwa kwenye karatasi za kupiga kura na mlivochanganyikiwa wengine wenu mlipiga kura na mkampigia yeye! Alikataa kutia sahihi form 24A ya kujitoa rasmi kwa kinyanganyiro kwa mujibu wa katiba. Cha ajabu ikifika ni form 34B utasikia akilialia eti presiding officer wa IEBC hawakutia sahihi. RAO ni mwehu mkubwa kabisa.
 
angalia asilimia 98.2% na 11.1% kama zinauhalisia
Ndugu, kenyata awamu ya kwanza alipata kura 8miliioni na ushee sasa leta takwimu kapata kura ngapi ,achana na % mbona hafikishi awamu ya kwanza na watu wake wamempigia,kweli nyuma ya pazia yapo meng.i
 
Sasa angeshiriki ingesaidia nini labda?
Chaguzi zetu washindi wanajulikana kabla ya uchaguzi, watawala wanaandaa uchaguzi kwakua ni matakwa ya katiba, wanaandaa namna ya kushinda iwe kwa nguvu au kwa wizi na uchaguzi ukiisha wanafanya sherehe za kujipongeza[emoji23] [emoji23]

Hii ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe.

Yule wa UG anakomaa kubadilisha katiba, yule wa Rwanda nae anahakikisha katiba inamruhusu kuongoza mwanzo mwisho, na mpinzani anayejitokeza anamtia shida mpaka wengine waogope kujitokeza, kule kwa Mugabe anajitahidi anaongoza mpaka anaingia kabulini, Kule kwa Nkurunziza ni vichekesho tupu.

Bara la Africa ni aibu tupu unaweza kuhisi sisi wote ni wehu[emoji23] [emoji23]
Kweli jamaa
ni uozo tupu
 
1509131182325.jpg
1509131229300.jpg
1509131250652.jpg
 
Wewe Jambazi sasa picha ya mtoto wa watu umeieka hapa ya nini? Afu picha kama hiyo mtu anafaa aeke tahadhari mbele ndo watu wajue kinachofata si kizuri. Natumai wewe ni mtu na akili zake na utafanya haki.
 
Back
Top Bottom