Uhuru Kenyatta na kinachotokea Libya

Uhuru Kenyatta na kinachotokea Libya

mafimboo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
2,415
Reaction score
977
Baadhi ya watu hawajamuelewa Uhuru kenyata,wanafiriki ni mkurupukaji kama maraisi wengine,ameona kinachotokea Libya cha waafrika kuteswa vibaya kwa kutafuta maisha bora,ndioa maana karuhusu watu wa afrika mashariki kuuingia Kenya bila viza bila vikwazo vyovyote na kufanya biashara,ni Raisi wa aina kwa kwakeli
Faida za kwenda Kenya;
1:Kenya ina masoko makubwa ya kimataifa(accessibility of international market) kwa mfano Kenya inauza sana maua kwenda ulaya,matunda mbalimbali ,soko lipowazi,kwa kukimbilia Kenya ni wazi tutapata fursa zote hizi,nchi nyingine za E.A access ya international makeri ni finyu sana kwa watu wa kawaida

2:sekta ya usafiri
Kenya ndege nyingi sana zinazoruka kutokea jomo kenyata kwenda mataifa mbalimbali,mashirika makubwa kama fly emirate yanatua Kenya,kimsingi huo Kenya ni kituo kizuri cha watalii na hivyo fursa ya kibiashara ni kubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine ya afrika masharika ukulinganisha na mataifa mengine ya E.A
3:Uhuru wa biashara
Kenya kuna Uhuru makubwa sana wa biashara kuliko nchi nyingine za E.A,nchi nyingine hakuna Uhuru wa biashara kama wewe ni mpinzani wa serikali basi jiandae kung'olewa mazao yako shambani ama kutolewa kwenye majengo ya sekali uliyopanga kwa nguvu pamoja na kufilisiwa,ama kubambikiziwa kesi za ukwepaji kodi ,Kenya upuuzi huu hakuna
4;Huduma za bandari
Kenya inahuduma raisi sana za bandari kuliko mataifa mengine,kwa kuhamia Kenya unaweza kupitisha kenya mizigo yako na kuisambaza maeneo mengine kiraisi zaidi
5:viwanda
Kenya ina viwanda vingi sana kuliko nchi nyingine za E.A,ni rahisi sana kupata machine za kisasa kenya kuliko nchingine,viwanda vingi vinamilikiwa na wakenya na wazungu,tofauti na wengine ambavyo wahindi ndio wamejaa ,ambao wanaficha fedha nje na kufanya biashara za kijanja kijanja
6:kodi
Kwenye swala kodi,Kenya wanakodi nyepesi lakini sio rahisi kukwepa,kufanya biashara Kenya kwa njia sizo halali utaishia kuilaumu Kenya,biashara za kihuni Kenya hazikubaliki,bidhaa feki Kenya ni marufuku
My take
Kuliko kukimbilia Libya kwenye mateso bora ukimbilie Kenya ukajaribu
 
Hamna mtu anayekimbilia Libya kutafuta maisha mazuri ,watu wanapita Libya kwenda Ulaya kujaribu bahati zao
 
Kenya kuna Uhuru makubwa sana wa biashara kuliko nchi nyingine za E.A,nchi nyingine hakuna Uhuru wa biashara kama wewe ni mpinzani wa serikali basi jiandae kung'olewa mazao yako shambani ama kutolewa kwenye majengo ya sekali uliyopanga kwa nguvu pamoja na kufilisiwa,ama kubambikiziwa kesi za ukwepaji kodi ,Kenya upuuzi huu hakuna
Hii ya kwetu ni serikali ya aibu na washamba
 
Wale waliyozoea Kukaa lumumba na kutegemea buku7 na kodi zari hawatokuelewa...

Ova
 
Baadhi ya watu hawajamuelewa Uhuru kenyata,wanafiriki ni mkurupukaji kama maraisi wengine,ameona kinachotokea Libya cha waafrika kuteswa vibaya kwa kutafuta maisha bora,ndioa maana karuhusu watu wa afrika mashariki kuuingia Kenya bila viza bila vikwazo vyovyote na kufanya biashara,ni Raisi wa aina kwa kwakeli
Faida za kwenda Kenya;
1:Kenya ina masoko makubwa ya kimataifa(accessibility of international market) kwa mfano Kenya inauza sana maua kwenda ulaya,matunda mbalimbali ,soko lipowazi,kwa kukimbilia Kenya ni wazi tutapata fursa zote hizi,nchi nyingine za E.A access ya international makeri ni finyu sana kwa watu wa kawaida

2:sekta ya usafiri
Kenya ndege nyingi sana zinazoruka kutokea jomo kenyata kwenda mataifa mbalimbali,mashirika makubwa kama fly emirate yanatua Kenya,kimsingi huo Kenya ni kituo kizuri cha watalii na hivyo fursa ya kibiashara ni kubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine ya afrika masharika ukulinganisha na mataifa mengine ya E.A
3:Uhuru wa biashara
Kenya kuna Uhuru makubwa sana wa biashara kuliko nchi nyingine za E.A,nchi nyingine hakuna Uhuru wa biashara kama wewe ni mpinzani wa serikali basi jiandae kung'olewa mazao yako shambani ama kutolewa kwenye majengo ya sekali uliyopanga kwa nguvu pamoja na kufilisiwa,ama kubambikiziwa kesi za ukwepaji kodi ,Kenya upuuzi huu hakuna
4;Huduma za bandari
Kenya inahuduma raisi sana za bandari kuliko mataifa mengine,kwa kuhamia Kenya unaweza kupitisha kenya mizigo yako na kuisambaza maeneo mengine kiraisi zaidi
5:viwanda
Kenya ina viwanda vingi sana kuliko nchi nyingine za E.A,ni rahisi sana kupata machine za kisasa kenya kuliko nchingine,viwanda vingi vinamilikiwa na wakenya na wazungu,tofauti na wengine ambavyo wahindi ndio wamejaa ,ambao wanaficha fedha nje na kufanya biashara za kijanja kijanja
6:kodi
Kwenye swala kodi,Kenya wanakodi nyepesi lakini sio rahisi kukwepa,kufanya biashara Kenya kwa njia sizo halali utaishia kuilaumu Kenya,biashara za kihuni Kenya hazikubaliki,bidhaa feki Kenya ni marufuku
My take
Kuliko kukimbilia Libya kwenye mateso bora ukimbilie Kenya ukajaribu
Kenya wanauza matunda nje ya nchi yao , ukifuatilia sana matunda hayo yametoka Tanzania , hii ni fursa nzuri sana kwa Watanzania kama hakuta tokea matatizo huku kenya baadae
 
Back
Top Bottom