Uhuru Kenyatta ndiye Rais bora Africa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mwaka huu ukiisha naona Uhuru Kenyatta ndiye Rais bora Africa kwa sasa !!

Hakuna rais Mvumilivu kama yeye kwa sasa katika siasa za afrika!

Toka ameingia madarakani amekuwa rais wa kuimiza umoja na mshikamano kwa wananchi wa Taifa lake na ndiye rais anayewasikiliza wapinzani kuliko labda maraisi wote wa Africa!!;

Tume mpya na huru ya uchaguzi hii ndio inampa credit zote za kuwa Rais bora ni ngumu kwa marais wa kiafrika kukubali tume huru za uchaguzi!!

Kuimiza maendekeo ujenzi wa bomba la mafuta na reli

Uhuru wa vyombo vya habari nchini Kenya!!

Kitu alichonishangaza zaidi ni kupunguza interest rate za mabenki wakati na yeye akiwa anamiliki bank ili ni swala la uzalendo wa hali ya juu !!

Pamoja na kulaumiwa kwa baadhi ya mambo lakini Uhuru Kenyatta ndiye Rais mfano Africa !!!
 
Uhuru Kenyatta ni kiongozi wa kizazi hiki, Wakenya wamuongeze kipindi kingine, ni mtu wa kusikiliza watu wake na kuwashirikisha katika haja mbali mbali
 
 
Mtu wa watu, anajichanganya na watu na anakuwa free sio kama huku umezungukwa na askari kibao

Kweli wakenya ni punguani! Yaani mnamsifia mwizi na kumtukuza! Kama ni rais bora na mwenyekujali wakenya kwanini asirudishe land kwa wakenya iliyoporwa na baba yake? It was Jomo Kenyatta who led the land grabbing episode along with other political stalwarts from kikuyu ethnic majority. Na nyie manyumbu mko hapa manasifia wizi!
 
sio kila siku rais hualika mpinzani wake mkuu waketi karibu kana kwamba ye ni makamu flani, tena wakitoka hapo wanarudi kua wapinzani, mara zengine hata huanza kuingiliana hapo hapo wakipewa mic, alafu siku nyengine pado wanaalikana waketi pamoja tena, huu ni muongozo mzuri, hata adui yako uwe unamchukia kiasi ghani, uwe na ukarimu na ustarabu wa kuweka chuki mbali na kusikilizana na kuelewa mara nyingine

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…