technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mwaka huu ukiisha naona Uhuru Kenyatta ndiye Rais bora Africa kwa sasa !!
Hakuna rais Mvumilivu kama yeye kwa sasa katika siasa za afrika!
Toka ameingia madarakani amekuwa rais wa kuimiza umoja na mshikamano kwa wananchi wa Taifa lake na ndiye rais anayewasikiliza wapinzani kuliko labda maraisi wote wa Africa!!;
Tume mpya na huru ya uchaguzi hii ndio inampa credit zote za kuwa Rais bora ni ngumu kwa marais wa kiafrika kukubali tume huru za uchaguzi!!
Kuimiza maendekeo ujenzi wa bomba la mafuta na reli
Uhuru wa vyombo vya habari nchini Kenya!!
Kitu alichonishangaza zaidi ni kupunguza interest rate za mabenki wakati na yeye akiwa anamiliki bank ili ni swala la uzalendo wa hali ya juu !!
Pamoja na kulaumiwa kwa baadhi ya mambo lakini Uhuru Kenyatta ndiye Rais mfano Africa !!!