Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Jaji Mkuu Wa Kenya Hivi Punde Ametangaza Rasmi Kuwa Mahakama Kuu Nchini Humo Imeshindwa Kusikiliza Na Kutoa Maamuzi Ya Kesi Ya Kuomba Kuahirishwa Uchaguzi Mkuu Kesho.
Amesema Idadi Ya Majaji Wa Kusiliza Kesi Hiyo Haikujitosheleza Kwa Sababu Mbalimbali.
Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu Hakuudhuria Kwa Sababu Dereva Wake Alipigwa Risasi Jana Jioni.
Jaji Ibrahim Yupi Nje Ya Nchi Kwa Matibabu
Majaji Smolan Wanjala Na Jacktone Ojwang HawaKufika Mahakamani.
Majaji Pekee Waliohudhuria Ni Jaji Mkuu David Malaga Na Jaji Isaack Leonaola.
Kwa Kuwa Idadi Kamili Ya Majaji Haikutimia Na Kwa Kuzingatia Kifungu Cha 162(2) Cha Katiba Ya Kenya Basi Kesi Hiyo Haiwezi Kuendelea Kusilizwa Hadi Wakati Mwingine.
Seneta Wa Siaya Orengo Anayemwakilisha Rails Odinga Amesema Hayo ni Mapinduzi Ya Katiba. Ameendelea Kudai Kuwa Zimekuwepo Juhudi Za Kuhujumu Taasisi Huru Nchini Humo Kama Tume Ya Uchaguzi Na Mahakama Kuu.
Chanzo Cha Habari: BBC
Leo Ni Siku Ya Mapumziko Nchini Kenya Kujiandaa Na Uchaguzi Mkuu Kesho.
Kesho Tarehe 26/10/2017Ni Siku Ya Uchaguzi Mkuu.
Kesho Tarehe 26/10/2017 Ni Siku Ya Kusherekea Birthday Ya Uhuru Kenyatta.