Uhuru Kenyatta Njia Nyeupe Kuelekea Ikulu

Uhuru Kenyatta Njia Nyeupe Kuelekea Ikulu

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Jaji Mkuu Wa Kenya Hivi Punde Ametangaza Rasmi Kuwa Mahakama Kuu Nchini Humo Imeshindwa Kusikiliza Na Kutoa Maamuzi Ya Kesi Ya Kuomba Kuahirishwa Uchaguzi Mkuu Kesho.

Amesema Idadi Ya Majaji Wa Kusiliza Kesi Hiyo Haikujitosheleza Kwa Sababu Mbalimbali.

Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu Hakuudhuria Kwa Sababu Dereva Wake Alipigwa Risasi Jana Jioni.

Jaji Ibrahim Yupi Nje Ya Nchi Kwa Matibabu
Majaji Smolan Wanjala Na Jacktone Ojwang HawaKufika Mahakamani.
Majaji Pekee Waliohudhuria Ni Jaji Mkuu David Malaga Na Jaji Isaack Leonaola.

Kwa Kuwa Idadi Kamili Ya Majaji Haikutimia Na Kwa Kuzingatia Kifungu Cha 162(2) Cha Katiba Ya Kenya Basi Kesi Hiyo Haiwezi Kuendelea Kusilizwa Hadi Wakati Mwingine.

Seneta Wa Siaya Orengo Anayemwakilisha Rails Odinga Amesema Hayo ni Mapinduzi Ya Katiba. Ameendelea Kudai Kuwa Zimekuwepo Juhudi Za Kuhujumu Taasisi Huru Nchini Humo Kama Tume Ya Uchaguzi Na Mahakama Kuu.
Chanzo Cha Habari: BBC
Leo Ni Siku Ya Mapumziko Nchini Kenya Kujiandaa Na Uchaguzi Mkuu Kesho.
Kesho Tarehe 26/10/2017Ni Siku Ya Uchaguzi Mkuu.
Kesho Tarehe 26/10/2017 Ni Siku Ya Kusherekea Birthday Ya Uhuru Kenyatta.
 
Wapi hiyo mbona magazeti ya huko yasema hivi

http://www.nation.co.ke/news/Appoin...ys-High-Court/1056-4154918-6odwjyz/index.html

====

The process that led to the appointment of constituency returning officers and their deputies is illegal, High Court has ruled.

Judge George Odunga on Wednesday found that the Independent Electoral and Boundaries Commission did not follow the law while appointing the poll officials.

However, the judge declined to quash the gazette notice on the appointment of the election managers.

++++
 
MWENZAKO ANAONGELEA HABARI ZA HIVI PUNDE "BREAKING NEWS" WEWE UNATULETEA HABARI ZA MAGAZETI
 
Jaji Mkuu Wa Kenya Hivi Punde Ametangaza Rasmi Kuwa Mahakama Kuu Nchini Humo Imeshindwa Kusikiliza Na Kutoa Maamuzi Ya Kesi Ya Kuomba Kuahirishwa Uchaguzi Mkuu Kesho. Amesema Idadi Ya Majaji Wa Kusiliza Kesi Hiyo Haikujitosheleza Kwai Sababu Mbalimbali.
Umesahau kuwa Mahakama kuu imetoa uamuzi wa kuwa maofisa wote wa uchaguzo RO's walioteuliwa kusimamia uchaguzi kesho ni batili, sasa nani atasimamia uchaguzi
 
Daima kupenda vya mteremko sio jambo jema sana...
Mtelemko upi hapo hata hao majaji washaona laila c lolote ni mkora tu ataka urais kwa huruma ya mahakama na nlbaadhi ya wasoelewa mpaka leo kenya biashara shida uchumi unashuka kwa kasi washatumia zaidi ya b 24 za kenya unazani nn maana yake
 
In truth he will be a president without legitimacy. He will rule a much divided country that he initially expected. He should not be happy to rule a country where nearly half of your people doesn't want you to rule them so good-luck to him anyway
 
MWENZAKO ANAONGELEA HABARI ZA HIVI PUNDE "BREAKING NEWS" WEWE UNATULETEA HABARI ZA MAGAZETI
Watu wamechanganyikiwa wanazani leo ni jana na haswa hao ni wajaruo wamechanganyikiwa kwa ushauri wangu usifanye biashara na wajaruo hamtafika mwisho wamechanganyikiwa hao akina ouma,ouko etc.
 
In truth he will be a president without legitimacy. He will rule a much divided country that he initially expected. He should not be happy to rule a country where nearly half of your people doesn't want you to rule them so good-luck to him anyway
Who cares about that kind of happiness!just being president is what it takes.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
uhuru analazimisha awe rais kwa kila namna!!
Szani kama akili yako iko sawa kwann asikatae marudio ya uchaguzi kwa nguvu kwakuwa alitangazwa lkn mpenda demokrasia yule akakubari lbd useme laila ndo alitaka urais wa huruma kwakuwa ameshiriki miaka mingi bila kushinda na kwa wajaruo akishindwa mwaka huu laila hakuna tena mjaruo wa kuchukua nchi
 
In truth he will be a president without legitimacy. He will rule a much divided country that he initially expected. He should not be happy to rule a country where nearly half of your people doesn't want you to rule them so good-luck to him anyway
Unazani duniani wote watakupenda?mbona magufuri anaongoza watu robo tatu wote hawapendi?mbona yupo hadi ss,wacha na iwe.
 
Back
Top Bottom